Unafosi vip kuhamia kwangu wakati mimi sitaki

Nilichogundua Katika Hii Nchi Yetu Ili Uishi Kwa Amani Kuna Vitu Usivipe Kipaumbele Sana, Kama....... :-

-Siasa

-Wivu

-Kutuma Hela na Ya Kutolea

-Kuwa na Msichana Mmoja

-kuwa na Roho Mbaya

- kwenda kulala kwa mchuchu
 
Hata Mimi napitia swala Kama ilo mtu aki kukuta nae direct anamuhisi Malaya na muhuni . Amesha nikosesha michongo kibao mpaka sasa
 
Lakini kwanini mnaanzisha mahusiano yasiyo na malengo halafu mnakuja kutulilia humu, unachezea hisia za mwenzio ukishaona ameanza kucatch feelings unaanza kumshangaa!

Dunia inaweza kuwa mahala salama kuishi endapo kila mmoja anatakuwa responsible na akifanyacho, ilitakiwa uhakikishe na yeye yupo kwa lengo la kulana tu na si vinginevyo, KARMA.
 
Bint kila siku anakuja na sabab mpya.sasa ameanza sabab za "sitak ahamie sabab nna ademu wengne"

Samahanin lakin kiukwel bint ni kinganganiz sana

Sijawai mfikiria hata sku1 kua ndo awe dem wangu /mchumba

Hyo mitattoo mi namtambulishaje kwa watu wa maana jamen

Skatai anasema alichora zaman na anajutia,ila kwetu bongo mwanamke mwenye tattoo ni ishu nyingne

Mim siwez kiukwel siwezii,huyu dem ni mkali kila idara,tatzo ni hzo tattoo,

Na amengangania a move in sasa hiv mim kwel mdugu zangu wakute mitatoo kwel si aibu,ukizingatia mdingi ni mzee wa kanisa na mama ni ndo kabsaaaa,anashinda church

Daah
Uzi tayar
Uwe una hariri uandikapo...jibu unalo....jiongeze
 
Unakuta mitattoo yenyewe kaandika Valentine Mara kachora nge
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom