Indume Yene Platinum Member Joined Mar 17, 2008 Posts 2,968 Reaction score 727 Oct 22, 2011 #1 Ukiangalia hii picha kwa haraka, je unafikiri huyo jamaa aliyevaa shati jeupe kulia katika picha yuko wapi hapo?
Ukiangalia hii picha kwa haraka, je unafikiri huyo jamaa aliyevaa shati jeupe kulia katika picha yuko wapi hapo?
Likwanda JF-Expert Member Joined Jun 16, 2011 Posts 3,927 Reaction score 1,161 Oct 22, 2011 #2 Mbona Kama Mabenchi ya Mahakamani.
Katavi Platinum Member Joined Aug 31, 2009 Posts 42,099 Reaction score 12,928 Oct 22, 2011 #3 Mahakamani na mikono imetiwa pingu!
King’asti Platinum Member Joined Nov 26, 2009 Posts 27,866 Reaction score 24,984 Oct 22, 2011 #4 Atakua kafanya zahma gani sijui! Manake mahakamani si pingu zafungulia?
Mzee Platinum Member Joined Feb 2, 2011 Posts 13,620 Reaction score 5,867 Oct 22, 2011 #5 Mahakamani.
Indume Yene Platinum Member Joined Mar 17, 2008 Posts 2,968 Reaction score 727 Oct 23, 2011 Thread starter #6 Hapo si mahakamani, jamaa alikuwa anasikiliza mada ikitolewa.
M Mahona Senior Member Joined Sep 29, 2011 Posts 162 Reaction score 13 Oct 23, 2011 #7 Kama ni mahakamani mbona huyo wa kushoto kakenua meno na mijicho kuashiria kucheka? Mahakamani hauruhusiwi kucheka. Mi nadhani ni pozi tu la jamaa kuweka mikono nyuma
Kama ni mahakamani mbona huyo wa kushoto kakenua meno na mijicho kuashiria kucheka? Mahakamani hauruhusiwi kucheka. Mi nadhani ni pozi tu la jamaa kuweka mikono nyuma