Bonny
JF-Expert Member
- Feb 21, 2013
- 13,371
- 29,937
Ha ha ha ha sasa ukorofi uko wapi si tafsir jamn? nweis mzima?
Ha ha ha ha sasa ukorofi uko wapi si tafsir jamn? nweis mzima?
Haha tafsiri ya kikorofi. Mimi sijambo, vipi za weweHa ha ha ha sasa ukorofi uko wapi si tafsir jamn? nweis mzima?
Ohoo sawa kumbe umeingia baada ya kuona huna kazi na sio umejikuta tu umeingiaNo, kuna kazi nafanya sasa nilitegemea asubuhi ntapata inputs kutoka kwa wengine. Naona watu wanazunguka hawanipi chochote. Kwa hiyo nawasubiria hapa.
Ohoo sawa kumbe umeingia baada ya kuona huna kazi na sio umejikuta tu umeingia
Sent using Jamii Forums mobile app
Nothing per oral, for procedure tomoorow at 8Wakuu,
Ujumbe huu aliandikiwa mgonjwa na Nesi wa kichina ambaye hajui kiingereza ambaye alikua akimhudumia,sasa kutokana na umuhimu wa alichotaka kumwambia alimpa ujumbe huo,Je unafikiri alimweleza nini hapo.?!View attachment 1014291
Sent using Jamii Forums mobile app
Ha ha ha ha sawa bwana ila wewe ndio umeona hvyo, Niko Poa sana hajambo mshkaj wangu... Wax
Ha ha ha ha sawa bwana ila wewe ndio umeona hvyo, Niko Poa sana hajambo mshkaj wangu... Wax
Ha ha ha ha no more comment.
Kwan ya kwako imeshaharibika?