Acha uongo wewe!!! nani aliyekudanganya Tanzania ni non violent country!? Unaishi chini ya jiwe!? Lissu alipigwa risasi 38 akiwa Rwanda? Ben Saanane alipotea akiwa Burundi? Roma na wenziw waliotekwa na kuteswa walikuwa Uganda? Miili inayookotwa ufukweni mwa bahari iliokotwa Somalia na kuja kutupwa Coco beach? Azori Gwanda mwandishi wa Mwananchi aliyepotea kwa zaidi ya miezi minne sasa alipotea akiwa Congo!?
Tatizo lako unafiki unakusumbua sana ndiyo maana unaandika uongo. Ungeacha unafiki ungeona hali halisi ya nchi yetu kuhusu chuki za kutisha, udhalimu, dhuluma na hata mauaji ambayo chanzo chake kikuu ni huyo dhalimu.
Huu uongo wako beba upelele Lumumba kule utawapata wengi watakao kuona wewe ni genius kwa huu uongo wako lakini si humu. Huwezi kudai huyo dhalimu ni kiongozi mzuri huku akidharau katiba ya nchi, akidharau sheria mbali mbali za nchi, akidharau Bunge na mahakama. Akidharau haki za raia na vyombo vya habari nchini.
Sasa hivi imefikia hadi kujichotea trillions za pesa za walipa kodi bila idhini ya Bunge. Hii inasababisha wizi na ufisadi mkubwa sana wa pesa za walipa kodi. Bunge liliidhinisha bilioni 2 tu katika mwaka wa fedha wa 2017/2018 lakini ambazo zimeshatumika ni zaidi ya bilioni 350 HUU NI WIZI!!!
Nchi haiendeshwi hivi nchi ina taratibu zake za miaka nenda miaka rudi ambazo ni lazima zifuatwe badala ya mtu mmoja kutaka kutuaminisha kwamba kwa sababu yeye ni "mzalendo" basi aachiwe afanye vile atakavyo hata kuambiwa chochote kile, kukosolewa au kushauriwa hataki.
Tia akili kichwani acha kuidumaza ili kuganga njaa na kutafuta teuzi.
Sasa hapo wewe na makuli wa stand mnatofauti gani? umejaza vyeti wakati taaluma kichwani zero!cha ajabu ni wewe ambaye haujampelekea hata ukoko wa pilau..kisha unajiita kamanda
Povu tonnes, wewe hali ya nchi kwako imekuwa ni negative since enzi za Mkapa. Huna jema kwa utawala wa ccm, na una gundu kweli, you've witnessed chadema rising and you witnessing her downfall.
ni kweli mbowe yuko ndani
ni kweli chadema iko kimya
ni kweli hamna la kufanya
hata ubunifu tu wa mitandaoni kumkumbuka mbowe siku ya pasaka hakuna!!
no drama, kuko kimyaaaaa..........
sio fair nyie wanachadema, sio
Mpumbav,kwahiyo unataka tuanze kuua wanaccm huku mtaani kushinikiza Mbowe kuachiwa?Endeleeni kupandikiza mbegu ya chuki,ipo siku mtaelewa!Nilianza kusema hapa , ila nilianza mwaka 2008 Tangu CDM ilipobadilika kijiwe cha watu fulani na kubaka demokrasia mchana
usaliti ule hautaacha watu salama, haujamuacha mbowe salama
Kiongozi mwenye ushawishi ambaye kaingia mioyoni mwa watu huwa haachwi kama alivyoachwa mbowe!!
wale wa kutukana mje mseme Mbowe yuko wapi na nyie mnafanya nini kumtoa??
kuipenda CDM kwa sababu ya chuki kwa CCM ili hali mnaipenda CDM kinafiki na haitoki moyoni inadhihirika nyakati kama hizi
Mbowe mnayemsifia, na kusema sifa zote hata kumpa uenyekiti mpaka AFE bado yuko ndani na x-mass mmekula na familia zenu, salama za mwaka mpya mmezitoa nyie tu na ndugu zenu
Kuna haja ya kubadili setup ya upinzani, kuna haja ya kujua tunataka nini na akina nani wanahitajika, kusifia viongozi mdomoni tu ili hali hatuwapendi toka moyoni kunajionyesha nyakati hizi ngumu kabisa kwa upinzani
enyi Chadema ni nani aliyewaroga??
Kama kweli Mbowe anapendwa kiasi kile, hiki au namna hii na ile na jinsi mnavyosema kila siku, nchi isingekalika hii!!! DSM isingekuwa tulivu!!
Narudia tena, tujadili tunakosea wapi na tunataka nini
Matusi yale ya kila siku huwa yanasaidia nini hasa?? maana hata kama yanakupa faraja kumtukana waberoya , hayampi faraja mbowe akiwa ndani
Amekosa busara huyo mpuuzi,anapandikiza chuki sijui kwa manufaa ya nani!Waberoya,
..katika hili la Mbowe kuwekwa kizuizini nadhani ungewalaumu waliombambikia kesi kiuonevu.
..moja ya mashtaka dhidi ya Mbowe na wenzake ni kusababisha kifo cha Aquilina.
..Usilaumu upande unaoonewa, badala yake laumu upande unaoonea na kunyima wengine HAKI zao.
..Unaposema Dar ilitakiwa isikalike kwasababu Mbowe yuko ndani nadhani unachochea vurugu na uvunjifu wa amani.
..Dar au sehemu yoyote ile ya Tz isipokalika hizo gharama atazibeba nani? Kwanini tufike huko? Hudhani kwamba hilo likitokea watakaoumia zaidi ni wananchi wa kawaida na siyo wahusika wanaodhulumu na kumdhalilisha Mbowe?
.
Kwani Mbowe yuko ndani kwa kosa gani?Waberoya,

Waberoya,

Mpumbav,kwahiyo unataka tuanze kuua wanaccm huku mtaani kushinikiza Mbowe kuachiwa?Endeleeni kupandikiza mbegu ya chuki,ipo siku mtaelewa!
Wanaogopa kuja.chadema njooni huku