Unafiki wa wanaChadema kwa Chadema

Unafiki wa wanaChadema kwa Chadema

Kumpa U-PhD kilaza ni sawa na kumpa rungu kichaa, watakaoumia ni wengi.

Mag3, umefikia hapa??? ha ha ha

unasikia rumor, halafu unaishi nayo na unaitumia kama silaha...

are you serious??

hivi nini kimekupata mkuu??

ebu badilika bana, I expected some crical response kutoka kwako, hasa uniambie style ya chadema, plans, na kama nilichoandika ni uongo

unaniangusha mkuu, serious

account yako hii??

wewe si mlimsema sana zitto na tukawaambia chama kinakufa bila yeye

uko wapi uwezo wako wa kujenga hoja??

umenihuzunisha mku
nakutumia meseji inbox, hii sio wewe kabisa tunaiua JF bana
 
Mkuu umesahau kuwa enzi za awamu ys nne mlikuwa mnasema rais gani huyu ambaye hawezi kutoa maamuzi magumu,kazi yake kuchekacheka na kusafiri safiiri.mkaenda mbali na kumwita rais dhaifu ksbisa.
Mkuu sisi wengine ni mbumbimbu,ungetuekeza hiyo katiba unayosema anayovunja ni ibara gani na gani na gani tuweze kutafakari.Kusema tu anavunja katiba hakutoshi.
Unasema rais anadharau mahakama lini na kesi ipi ambayo rais akiingilia?
Ni shaulipi mahakama ilitowa hukumu ya kumwachia mtuhumiwa rais akatengua maamuzi ya mahakama na kutia hatiani mtuhumiwa?
Kuhusu bunge,ni lini rais akilidhau?
Hivi si hao wanaolalamika leo ndio waliondharau rais wakati wa ufunguzi wa bunge kwa kutoka nje ya ukumbi wa bunge?

chadema imefikia kutegemea matamko ya KKT, angalican, RC..na wanadai na waislamu watoe

serious??? wamefikia huko

mungu wa chadema yuko ndani...kimya

hata kumkumbuka twitter,

kuna tatizo mahali,
 
ni kweli mbowe yuko ndani

ni kweli chadema iko kimya

ni kweli hamna la kufanya

hata ubunifu tu wa mitandaoni kumkumbuka mbowe siku ya pasaka hakuna!!

no drama, kuko kimyaaaaa..........

sio fair nyie wanachadema, sio
Kwahiyo unataka wanacdm wafanye vurugu iliujuwe umuhimu wa mbowe nafikiri ni ushauri mzuri tutaufanyia kazi hakika umesema kweli mbowe amekaa ndani kwasababu za kijinga eti gari la wafungwa ni bovu hakika wanacdm tunatakiwa kesho wote tuwepo mahakamani
 
Mtu akishakua ni mtu wa dhulma na mwenye kuminya haki simpendi.

Kwasababu watu hawajaingia mitaa, msifikiri wanamkubali magufuri.
Kwasababu tunasalimiana mtaani huku mme vaa mijezi ya kijani msifikiri tuna upendo sana.

Itafika siku tutaacha kuchukuliana poa, ipo siku.
 
kiukweli mi mwenyewe nilijua kuwa siku mbowe akikamatwa basi hakutakalika, ila imekuwa tofauti sana?
 
Halafu watu wanaweza kusema wataandamana tarehe 26.. hivi kama kuna kuandamana si ingekuwa wakati viongozi wakuu wa upinzani wako ndani? watu walitaka kula Pasaka kwanza.. Upinzani sasa hivi ni dhaifu sana...

haitatokea wakaandamana

chadema wamekaa mbali na jamii kwa matendo yao, hauwezi ukapinga tu kila kitu, ukawa mtu wa chuki tu halafu yasikurudie

najua wewe ni mmoja wa watu ambao innocently umeshauri sana kwa miaka kumi sasa chadema ifanye nini katika kila situation!!.wamekutukana na hatuoni mbadala wa yale mashauri yetu

imeisha kwa kweli
 
Kwahiyo unataka wanacdm wafanye vurugu iliujuwe umuhimu wa mbowe nafikiri ni ushauri mzuri tutaufanyia kazi hakika umesema kweli mbowe amekaa ndani kwasababu za kijinga eti gari la wafungwa ni bovu hakika wanacdm tunatakiwa kesho wote tuwepo mahakamani

sure keshi mjae pale

ila ukweli mkuu hata twitter,fb kutoa maneno ya kishujaa ya kuwakumbuka makamanda kimya!!

mkuu kisiasa Mbowe alitakiwa aamshe amshe mambo mengi sana sikukuu hii
 
Halafu watu wanaweza kusema wataandamana tarehe 26.. hivi kama kuna kuandamana si ingekuwa wakati viongozi wakuu wa upinzani wako ndani? watu walitaka kula Pasaka kwanza.. Upinzani sasa hivi ni dhaifu sana...
Nasikia maandamano ya tarehe 26 hayana vyama, ni ya Watanzania kwa ujumla wao waliochoshwa na utawala wa kiimla wa dikteta uchwara usioheshimu sheria, kanuni wala taratibu. Wengi wa waandamanaji si ajabu wakawa kutoka Chama tawala na wasiokuwa na chama ambao ndio wengi nchini...tusubiri tuone.
 
Yale matusi, chuki za wazi, vijembe , hasira na kebehi za wanachadema kwa serikali hii, au hata mwenzao ambaye ana mawazo ya tofauti umezidi kuiacha uchi chadema

Wengine tumejaribu kila njia kuiongozea damu chadema kuipa uhai na hata kuwasha mashine za kupumulia, tena kwa upendo tu ila tumeambulia matusi na kebehi

Matusi ya wanachadema kwenye social media hauwezi kuamini kabisa kuwa hawa watu ndio wanakula pasaka ya leo ili hali Mbowe, mbowe huyu huyu yuko ndani!!

Haikuwa rahisi kudhania sugu atawekwa ndani(bado yumo ndani)

Mbowe ukitoka, badilisheni style ya siasa zenu. watanzania wanachuki mdomoni na wana upendo moyoni!! pale wanapokuwa wana upendo mdomoni na wanachuki moyoni..ni WANAFIKI..kweli mbowe wewe wa kulala ndani huku salary slip, nguruvi, mag 3, na wote chadema kindakindaki wanakula pasaka kwa raha zote!!..bila hata drama za kisiasa kuonyesha mko ndani?

Mbowe, Magufuli hachukiwi!!..Magufuli anatakiwa kuwa supported kwa nguvu zote ili CDM ipate support ya wananchi....unatakiwa kujipambanua na kwenda hatua ya mbali ambayo utawaambia wananchi kile ambacho unajua magufuli hataweza

kwa mfano "kusema CDM inaunga mkono jitihada zote za rais kwenye kudhibiti madini" ILA sisi chadema tukipata fursa tutahakikisha wale waliolifikisha taifa hapa tunawatafuta na kuwafilisi" unaposema hivi CDM inakuwa connected na jamii directly unapoweka condition ambayo unajua CCM hawataweza unakuwa MPINZANI!!

Hii kanuni rahisi ya busara na kanuni ya dhahabu mmeshindwa kabisa kui capture..mmesahau kucheza SIASA mnaeneza chuki, hasira, vijiba vya roho

Faida gani mnapata sasa? hao wazungu hawawezi kuwasaidia

Nilijua mbowe ukikamatwa Tanzania itatikisika!!'.haitakalika...haitatawalika....nilijua mbowe ukikamatwa mjini kutakuwa hakupitiki!..wanachadema wameonekana mashoga si mashoga, wanawake si wanawake, wamekuwa hayawani, hawaoni soni wala aibu....wanachadema wamekuwa kama kikundi cha taarabu, no siasa ni KUSEMA tu, kuandika tu...kutukana tu

Haya mbowe yuko ndani wako kimya tu..HIVI MBOWE UKITOKA NDANI unakuwa kiongozi wa nani?? kwa nini hamtaki kuamini kuwa siasa bora ni kuitambua jamii husika inataka nini, ina tabia gani? ..mtanzania anaweza kukutukana na kukudharau hata unapodai haki yake!!.ebo!..hallow ..wake up!!..Tanzania siyo nchi ya vurugu, get this fact

wanachadema wanatukana hata unapowapa ushauri mwema!..wako frustrated mpaka hata wakiwa wanakojoa hawajiamini!

Chuki inaleta kansa, mnajiumiza, mnateseka bure!! get life..

ebu anzeni siasa, kwa sasa HAMFANYI SIASA, mnaua chama

wale wa kutukana ambao hamjaenda kumwona mbowe ndani, na hamjaweza kufanya lolote....njooni mtukane na hapa

Ni maajabu mwana ccm kuumwa roho na unafiki wa wanachadema kwa chadema!

Ukiona mwanaccm anageuka mshauri maalumu kwa chadema then ogopa sana!

Kimbia ufe!
 
Kitu nilichojifunza ni inabidi Mbowe ajifunze kubadilika kwa njia ngumu kidogo ndio atasaidia hata hawa washabiki kuelewa siasa zinapaswa kwenda vipi. Huwezi kupinga kila kitu ukaonekana mzima. Inafikia hatua watu wanashabikia serikali ikishtakiwa na mabeberu! Hawajadili constructively bali kejeli na kila dalili hata za kushirikiana na hao wanaotushtaki! Huu uzandiki haukubaliki!!
 
Nasikia maandamano ya tarehe 26 hayana vyama, ni ya Watanzania kwa ujumla wao waliochoshwa na utawala wa kiimla wa dikteta uchwara usioheshimu sheria, kanuni wala taratibu. Wengi wa waandamanaji si ajabu wakawa kutoka Chama tawala na wasiokuwa na chama ambao ndio wengi nchini...tusubiri tuone.
Ninachoona ni baadhi ya watu kuyaunga mkono hayo maandamano indirectly. Kuunga mkono na kuandamana ni vitu viwili tofauti.

Ninachoshangaa ni kutegemea watu waandamane ambao hata kukiri kijasiri kuwa wataandamana wanaogopa.

Ila msijekuwaingiza chaka watu hasa wanachama wasiojielewa wakafanywa mfano nyie mkiwa makwenu mkifatilia kwenye tv.

Siasa za kijasiriamali zimetuchosha. Watanzania watapofikia wakichoshwa na serikali wala hawataambiwa cha kufanya na yeyote. Watachukua hatua ngumu wenyewe.
 
Waberoya kwa kweli chama kikuu cha upinzani tz kinaitaji maombi sijui ni nini kimewakuta na cha kushangaza ni kwamba wamesahau kuwa walikuwa wanapata support kubwa kutoka kwa wa tz wenye hali ya chini na sasa wanapata support kutoka kwa baadhi ya watu wenye hali ya kati na sana hali ya juu hii inatokana na kuwa magufuri now ansuppot kutoka kwa watu wa hali ya chini kutokana na siasa zake hapo ndio napokubaliana na wewe kuwa chama kikuu cha upinzani kinaitaji kulijui hili na kubadili aina ya siasa zake maana watu wa hali ya chini ndio wapiga kula kuendelea kumchafua na kumchukia magufuri ni kuendelea kupoteza uungwaji mkono kutoka katika kada ambayo ndio tegemeo kipindi cha uchaguzi
 
BAK, Waberoya hakusema Tanzania ni non violent country, alisema na nanukuu, "Tanzania ni non violence country!" Huyu ni msomi, zao la Chuo Kikuu cha UDSM na Engineer ( nasikia U-PhD uko njiani)
Hapana, haishi chini ya jiwe, ama anaishi peponi au anajiaminisha hivyo na wako wengi. Tatizo ni kwamba siku yake ikifika wengi hatutakuwepo kumtetea, ama tutakuwa tumetangulia tukisubiri kumpokea kama Akwilina anavyotusubiri.
Nimeona kuna pahala nimeitwa, mimi Mag3 Chadema, hilo halinishtui kama ilivyo kwa Maaskofu wa KKKT, kwa sasa wanaitwa makamanda. Huko nyuma niliwahi kutoa ushauri kwa watu kama Mh. Nape Nnauye nikiwaonya kwamba iko siku yanayowatokea wapinzani yanaweza kuwapata baadhi yao...how right I was!

Maaskofu hawateki, hawatesi na kuwaua Watanzania, wanaotenda maovu hayo ni wafuasi wa shetani na ni jukumu la Maaskofu na wacha Mungu popote walipo kumkemea shetani kwa nguvu zote kwani hapo wanatekeleza maagizo ya Mungu.
Wasomi km hawa ndo wa kupiga marungu ya kichwa km anavyopigwa Mkuu wa meza,Msomi asiyejielewa ss kasoma nn??eti Engineer zao la UDSM na U-phd uko njiani kabisa,elimu yako haina maana km huna uwezo wa kutafakari mambo ktk Jamii kwa jicho la mbali.
 
Eti unasema Chadema wana matusi,chuki na kebehi kwa serikali?Kwani hiyo serikali unayoizungumzia lin iliwapenda Chadema zaidi ya kuwabeza na kuwaita wanafiki tu,kuwabambikia kesi!!!!hulion hilo?By the way unasema Chadema ingeunga mkono serikali kwenye juhudi za kutetea rasilimali ?Ivi ulishawahi kujiuliza agenda ya ufisadi waliianzisha Chadema,Serikali au JPM alishawahi kuipongeza Chadema kuibua ufisad na kuipigia kelele na vivo hivyo kwenye madini Chadema walipiga kelele juu ya sheria mbovu!baada ya kupongezwa leo wanaitwa wakala wa mabepari!???Alafu ndo umuunge mkono JPM kwa lip?wakati vibaraka kama nyiny mlkua mnawaita Chadema ni wazushi awamu ya 4 eti leo mnajifanya watetez!!!Bro tafuta kazi nyingine kutetea unafiki na wanafiki sio kazi ndogo!
 
Yale matusi, chuki za wazi, vijembe , hasira na kebehi za wanachadema kwa serikali hii, au hata mwenzao ambaye ana mawazo ya tofauti umezidi kuiacha uchi chadema

Wengine tumejaribu kila njia kuiongozea damu chadema kuipa uhai na hata kuwasha mashine za kupumulia, tena kwa upendo tu ila tumeambulia matusi na kebehi

Matusi ya wanachadema kwenye social media hauwezi kuamini kabisa kuwa hawa watu ndio wanakula pasaka ya leo ili hali Mbowe, mbowe huyu huyu yuko ndani!!

Haikuwa rahisi kudhania sugu atawekwa ndani(bado yumo ndani)

Mbowe ukitoka, badilisheni style ya siasa zenu. watanzania wanachuki mdomoni na wana upendo moyoni!! pale wanapokuwa wana upendo mdomoni na wanachuki moyoni..ni WANAFIKI..kweli mbowe wewe wa kulala ndani huku salary slip, nguruvi, mag 3, na wote chadema kindakindaki wanakula pasaka kwa raha zote!!..bila hata drama za kisiasa kuonyesha mko ndani?

Mbowe, Magufuli hachukiwi!!..Magufuli anatakiwa kuwa supported kwa nguvu zote ili CDM ipate support ya wananchi....unatakiwa kujipambanua na kwenda hatua ya mbali ambayo utawaambia wananchi kile ambacho unajua magufuli hataweza

kwa mfano "kusema CDM inaunga mkono jitihada zote za rais kwenye kudhibiti madini" ILA sisi chadema tukipata fursa tutahakikisha wale waliolifikisha taifa hapa tunawatafuta na kuwafilisi" unaposema hivi CDM inakuwa connected na jamii directly unapoweka condition ambayo unajua CCM hawataweza unakuwa MPINZANI!!

Hii kanuni rahisi ya busara na kanuni ya dhahabu mmeshindwa kabisa kui capture..mmesahau kucheza SIASA mnaeneza chuki, hasira, vijiba vya roho

Faida gani mnapata sasa? hao wazungu hawawezi kuwasaidia

Nilijua mbowe ukikamatwa Tanzania itatikisika!!'.haitakalika...haitatawalika....nilijua mbowe ukikamatwa mjini kutakuwa hakupitiki!..wanachadema wameonekana mashoga si mashoga, wanawake si wanawake, wamekuwa hayawani, hawaoni soni wala aibu....wanachadema wamekuwa kama kikundi cha taarabu, no siasa ni KUSEMA tu, kuandika tu...kutukana tu

Haya mbowe yuko ndani wako kimya tu..HIVI MBOWE UKITOKA NDANI unakuwa kiongozi wa nani?? kwa nini hamtaki kuamini kuwa siasa bora ni kuitambua jamii husika inataka nini, ina tabia gani? ..mtanzania anaweza kukutukana na kukudharau hata unapodai haki yake!!.ebo!..hallow ..wake up!!..Tanzania siyo nchi ya vurugu, get this fact

wanachadema wanatukana hata unapowapa ushauri mwema!..wako frustrated mpaka hata wakiwa wanakojoa hawajiamini!

Chuki inaleta kansa, mnajiumiza, mnateseka bure!! get life..

ebu anzeni siasa, kwa sasa HAMFANYI SIASA, mnaua chama

wale wa kutukana ambao hamjaenda kumwona mbowe ndani, na hamjaweza kufanya lolote....njooni mtukane na hapa
Waberoya brother ndio reasoning imeshuka kiasi hiki??

Kwani wewe ulitaka mbowe akiwekwa ndani CHADEMA wafanye maandamano ili mseme wanaingilia uhuru wa mahakama???

Kama CHADEMA as u claim haina mass support unatumia vigezo gani?? Kwanini hamruhusu maandamano ya amani na mikutano ya kisiasa ili tujue mbivu na mbichi sio mnakuja na kejeli kuwa CHADEMA haikubaliki kwa wananchi ilihali hamruhusu wafanye mikutano

Walivyopokwa haki ya mawakala wao kwenye uchaguzi waliandamana kwa uwingi tu mkaishia kuwapiga risasi na mkatupa lawama nyingi kwa mbowe hadi mkawafungulia kesi alafu leo hii unakejeli kwamba hakuna anayeandamana ilihali unajua wakiitisha maandamano mtayazuia na zaidi mtawaua watu

Kuhusu kuunga mkono umetoa hoja mfu kabisa hayo unayosema yameshaongelewa sana kwenye bajeti kivuli na ripoti za wizara kivuli zinazosomwa bungeni wakati wa bunge la bajeti yaani wanachukua hoja za serikali kuu na kuzitengenezea hoja mbadala sasa kivipi unajifanya ndio unashauri CHADEMA wawe na sera mbadala ilihali zipo zinasomwa kwenye hotuba za kambi rasmi ya upinzani kwa wizara mbalimbali???

Shida ya wana JF wengi tunapenda kuandika kabla ya utafiti nashangaa waberoya wa enzi zile ulikuwa na nondo kweli zimeshiba siku hizi umekuwa wale wale kama polepole unaongea kwa kukariri sio kitafiti

Nikuulize nipe kitu kimoja tu ambacho upinzani wamepinga.... Nitajie kimoja tu hapa
 
Chadema sasa wamehamia mitandaoni kubweka tu
Mbowe akitoka kesho atakua amejifunza kitu
Unataka waandamane tena ili muwashoot kama yale maandamano yaliyomtoa uhai akwilina??

Sijui wana CCM mnataka upinzani ufanyeje.... wasipoandamana mnasema mbowe atajifunza haya wakiandamana mnasema wanapenda vurugu!!! Kazi kwelikweli
 
Back
Top Bottom