Unafiki wa wana-UKAWA

Unafiki wa wana-UKAWA

Wewe kama ni kijana basi ndiyo walewale wakina makonda wanaosherekea kupatika kwa rasimu ya vijicenti na fisadi mwenzake sita asiyekuwa na akili mpaka kufikia atua ya kutukana maaskofu kwa wewe nae sikushangai sana kwa sababu inawezekana nawe ni fasadi Moja wapo kaa kimya usubirie kura za wanatnganyika hili muabike

....mhurumie alishatumika !!!
 
Vigezo vilivyotumiwa na Tume kuchukua maoni vilikuwa hivi;

1. Idadi ya wananchi waliozungumza kwa mtazamo sawa kuhusu jambi flani.
2. Mantiki ya maoni kwa mustakabali wa ustawi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na watu wake.
3. Sababu ya kutolewa hayo maoni.

Nitaeleza kidogo...

Tume iliundwa na wasomi wabobezi wa sheria na siasa za Tanzania tofauti na BMK ambapo walikuwepo elimu ndogo na wafanya biashara kama Komba.

Idadi husaidia kuakisi maoni ya wengi yapoje. Ila sio kila maoni yataleta ustawi wa nchi. Mkataba ni hatari kwa Muungano, pengine maoni ya mkataba yalikuwa na sababu zisizo na mashiko, kwa hiyo hata kama yalisemwa na wengi, tume iliyaacha kwa sababu nilizotaja hapo juu.

Hii 19% mnayosema mmebadilisha kwa asilimia ni ndogo ila kwa uzito ni 91%.

Huwezi kuwa na viongozi wanaopatikana katika mazingira ya rushwa na upendeleo wa Rais kuchagua atakavyo, halafu eti hao watasimamia haki za wakulima na wafugaji???!

Hayo mambo yaliwekwa katika rasimu ya Tume kama msmbo ya kushughulikiwa na nchi washirika maana Tume iliandaa rasimu ya Serikali ya Muungano.
Hii rasimu ya Sitta imepingana na msingi wa rasimu ya Tume. Kwahiyo uchakachuaji ni zaidi ya ssilimia 91%.

Mwendawazimu tu ndio ataona Tume ilikoaea halafu Sitta na genge lake wamepatia. Binafsi mimi si mwendawazimu kukubaliana nawewe mtoa mada Buchanan
 
Mkuu, Winston Mtanzania, kwanza nashukuru kujitahidi kueleza kile unachoamini! Kama Warioba alikuwa anatumia vigezo kukubali au kukataa maoni mbona Bunge Maalum lilipofanya hivyo hivyo kukataa Mfumo wa Serikali 3 imekuwa nongwa kwa wana-UKAWA?
 
Last edited by a moderator:
Wewe kama ni kijana basi ndiyo walewale wakina makonda wanaosherekea kupatika kwa rasimu ya vijicenti na fisadi mwenzake sita asiyekuwa na akili mpaka kufikia atua ya kutukana maaskofu kwa wewe nae sikushangai sana kwa sababu inawezekana nawe ni fasadi Moja wapo kaa kimya usubirie kura za wanatnganyika hili muabike

Yale yaleeee...! Tundu Lissu kawatukana waasisi wa taifa hili kwenu sio kitu, maaskofu wameelimishwa tu imekuwa taabu!
 
Buchanan hebu tuambie sababu ya BMK kuyafuta haya katika rasimu;

Msingi wa serikali 3;
Mawaziri kutokana na wabunge;
Kupunguzwa madaraka ya rais;
Akaunti za nje;
Uwazi na Uadilifu wa viongozi wa Umma!

Ni wapi mengine yatatekelezwa nila hivi??

Sema kweli kuhusu mamlaka ya bunge kubadili msingi wa katiba
 
Nyie wananchi au nyie wana CCM?
Kwa hiyo kwenye hizo asilimia 19 mlizobadilisha hao wananchi wa Zanzibar mmewawekea huo muungano wa mkataba?
Usije ukasema kuwa haukuwemo kwenye rasimu maana hata hiyo ya serikali mbili mliyoweka haikupendekezwa na rasimu ya Warioba, ilitajwa tu kama ulivyotajwa muungano wa mkataba.

Ccm ni wananchi,au unafikiri ccm ni mkimbizi?
 
Buchanan hebu tuambie sababu ya BMK kuyafuta haya katika rasimu;

Msingi wa serikali 3;
Mawaziri kutokana na wabunge;
Kupunguzwa madaraka ya rais;
Akaunti za nje;
Uwazi na Uadilifu wa viongozi wa Umma!

Ni wapi mengine yatatekelezwa nila hivi??

Sema kweli kuhusu mamlaka ya bunge kubadili msingi wa katiba
Soma maamuzi ya Mahakama Kuu kwenye kesi ya Kubenea kuhusu Mamlaka na Mipaka ya Bunge Maalum la Katiba!
 
Mahakama inaishia kutuambia mchakato wa katiba umekaa kisiasa. Haikutafsiri sheria kutuambia mamlaka ya bunge kubadili msingi wa rasimu ya wananchi... !

Ila ni walewale wateule wa rais ndio maana maamuzi yao si huru.

Ukiwa huru wanakufuta kazi kama Othman Mosoud Othman..

Buchanan na wenzio mkawadanganye wajinga ambao ndio mtaji wenu. Yeyote mwenye akili hawezi kukubaliana na uhuni mnaofanya
 
Yale yaleeee...! Tundu Lissu kawatukana waasisi wa taifa hili kwenu sio kitu, maaskofu wameelimishwa tu imekuwa taabu!

Amewatukana matusi gani? Kusema wamezoea vya haramu? Si alitoa ufafanuzi? Vya haramu ni haramu tu hata kama viko katika mikono ya nani. We unadhani muungano ungekuwa na utata leo kama isingekuwa makubaliano ya kificho ya serikalimbili za hao waasisi? unadhani kama wangeamua kufanya serikali moja hii migogoro ingekuwepo leo? Waasisi wameliasisi taifa wakaasisi na matatizo na mema yaliyomo ndani ya taifa. Sasa mnataka wasemwe kwa mema hata pale ambapo mabaya waliyohusika nayo yanapotaka kuligawa taifa? Ni waasisi, tunakubali. Lakini katika kuasisi kwao wameasisi na shiiiiiiiiiida zilizopo sasa.
 
Laana itaendelea kumtafuna Tundu Lissu milele!
 
Labda, maana CCM hamna (hawana) uchungu na nchi hii. Kwani wewe unamaanisha kwamba UKAWA wao si wananchi ni wakimbizi?
UKAWA wangekuwa na uchungu na nchi hii wasingetafuta namna ya kusambaratisha taifa letu kupitia dhana ya "Serikali 3!" Wao wana "uchungu" na madaraka ndio maana wanahangaikia mambo ya Administration {Serikali 3} kuliko ya kiuchumi! Huo ndio "uchungu" walio nao wana-UKAWA, sio zaidi ya hapo!
 
Warioba kachakachua maoni ya Wazanzibari 67% waliotaka Muungano wa Mkataba wao wako kimya, sio kitu, lakini Bunge Maalum la Katiba kurekebisha Rasimu ya Warioba kwa 19% imekuwa tabu.

Kwa mtindo huu sisi wananchi tunawaona kuwa UKAWA mna ajenda ya siri na hakuna maslahi yoyote ya umma mnayoyatetea,

Ndio maana mnazungumzia na kukomalia muundo wa utawala tu ila mambo yanayogusa hasa maisha ya kila siku ya mwananchi wa kawaida, eg haki za wazee, vijana, wanawake, nk sio tatizo kwenu.

Acheni unafiki wana-UKAWA.

Tatizo lako wewe tangu uondolewe kuwa mhariri hapa jukwaani basi una gubu kweli kweli. Hawakukosea kukutoa binti yangu
 
UKAWA wangekuwa na uchungu na nchi hii wasingetafuta namna ya kusambaratisha taifa letu kupitia dhana ya "Serikali 3!" Wao wana "uchungu" na madaraka ndio maana wanahangaikia mambo ya Administration {Serikali 3} kuliko ya kiuchumi! Huo ndio "uchungu" walio nao wana-UKAWA, sio zaidi ya hapo!

Fikra zako zimekuwa na bias ya hali ya juu.

Kwani ile Tume ya Mabadiliko ya Katiba ndiyo UKAWA? ile si imeundwa na mwenyekiti wa CCM ambaye pia ndiye rais wa nchi? Sasa mapendekezo yaliyoletwa na tume yamekuwaje ya UKAWA? Fikiria vizuri kabla ya kusema maana ukisema ni maoni ya UKAWA, then hata Rais aliyewateua wajumbe wa Tume ni mfuasi wa UKAWA

Uchumi bila administration unadhani ni uchumi kiasi gani? Ila sishangai maana hali iliyopo inawapa mamlaka watawala kufuja uchumi bila tatizo ndio maana wanaogopa mabadiliko yangewabana, nimekuelewa maanamafisadi wanataka loose administration ili watafune uchumi wa nchi vizuri huku wananchi wanaendelea kufa njaa. Nimekuelewa. Nyote mnafanana.

Ndiyo maana ili kudumisha mianya ya kutafuna uchumi mnapendekeza bungeni waingie wabunge wasio na elimu, mradi waweze tu kusaini posho na kusema ndiyooooo! ili wasiwe na upeo wa kutosha kuhoji mambo ya maana. Nimekuelewa. Kwenu utawala mnataka uwe DHAIFU kama yule aliyetajwa na mheshimiwa mmoja ili ukwapuaji uwe kilaini.

Shame on all Fisadis!
 
Mkuu mbona hata kwenye hivyo vyama vinavyounda UKAWA havitaki mabadiliko? Vimekuwa na wenyeviti na makatibu wa "maisha" na akitokea mtu ananyemelea viti hivyo anaipata fresh!
Kuhusu Warioba anaonekana ni mtu aliyekula hela za watu sasa anahangaika kuweka mambo sawa bila mafanikio! Damu yake ni ya ki-UKAWA, hana uchungu wowote na nchi hii!
Ni kweli administation inasimamia uchumi lakini niambie Serikali ya Muungano wa S3 itasimamiaje uchumi wakati yenyewe haina vyanzo vya mapato vya kuaminika mpaka ipige magoti kwa kile kiitwacho "nchi washirika?" Pia ni Serikali usiyo na ardhi maana ardhi sio suala la Muungano, sasa ni uchumi gani unaosimamiwa katika mazingira hayo?
Wana-UKAWA tumeshawashtukia hata mfanyeje hamtatufool tena, nyie bakini mkihangaika kwenda mahakamani, maandamano, nk!
 
Hivi kuna serikali ya Tanganyika? Ardhi ya watanganyika inasimamiwa na serikali gani?

Kuhusu Warioba, kama ana matatizo yote hayo uliyosema basi hata huyo aliyempa uenyekiti wa tume atakuwa boya kabisa. Unataka kusema mwenyekiti wa chama chenu ni mbumbumbu kabisa kiasi hicho? Au ndio kama vile aliitwa dhaifu? maana inaelekea hajui hata wafujaji wa uchumi kama Warioba kwa mtazamo wako.

Na nikirejea 'signature' yako, hivi hicho chama chenu na Nyerere wake, kama alikuwa na malengo ya muungano halisi, alishindwaje kuweka serikali moja? Upuuzi kabisa.
 
Back
Top Bottom