Buchanan
JF-Expert Member
- May 19, 2009
- 13,192
- 1,976
Warioba kachakachua maoni ya Wazanzibari 67% waliotaka Muungano wa Mkataba wao wako kimya, sio kitu, lakini Bunge Maalum la Katiba kurekebisha Rasimu ya Warioba kwa 19% imekuwa tabu.
Kwa mtindo huu sisi wananchi tunawaona kuwa UKAWA mna ajenda ya siri na hakuna maslahi yoyote ya umma mnayoyatetea,
Ndio maana mnazungumzia na kukomalia muundo wa utawala tu ila mambo yanayogusa hasa maisha ya kila siku ya mwananchi wa kawaida, eg haki za wazee, vijana, wanawake, nk sio tatizo kwenu.
Acheni unafiki wana-UKAWA.