UNAFIKI wa wabunge/mawaziri wa Zanzibar

SWAZI

Member
Aug 2, 2011
87
19
Wabunge wa baraza la wawakilishi ZNZ ni wawakilishi wa wazanzibari lakini nathubutu kusemakuwa wamezidi UNAFIKI na kuwa na double standards

Baa zinachomwa moto huko ZNZ lakini wabunge wao wako mstari wa mbele ku tangaza pombe kama picha zinavyoonyesha hapo chini.

TBL ilipotaka ku sponsor ligi kuu Znz wakajiai ohhh pombe ni kinyume na maadili ya wazanzibari sasa leo hayo maadili yamebadilika?

Halafu eti wanathubutu kutaka kuvunja muungano....wamenunuliwa na milioni 60 tuu za TEDI mapunda kuvaa jezi za kutangaza pombe sasa who not tusiongeze zero nyingine tukakinunua kisiwa kizima?

btw waliovaa jezi silizoandikwa SERENGETI ni wabunge wa ZNZ

DSC_7508.jpg

Mwenyekiti wa baraza la wawakilishi HAMZA HASSAN JUMA huyo hapo kushoto

5.jpg

waheshimiwa frm ZNZ :

HAMZA HASSANI JUMA

DAU HAMAD MAULIDI

ALI NASSOR JAZEERA

MICHUZI: sbl yatumia zadi ya mil 65 kuadhamini mechi ya wabunge na baraza la wawakilishi zanzibar.
 
Alikuwa akiwakilisha nafsi yake sio serikali.Nawapongeza wazanzibar kwa kuwa na msimamo katika mambo yao,wamesimamia nchi yao kutambulika baada ya mzozo ulioanzishwa na mkulima bungeni kwamba zanzibar sio nchi,saa hz nani atabisha kwamba znz ni nchi au la.Wameendelea kuwa na wimbo wao wataifa,bendera n.K
 
Prez!! Prez!Prez 2B EL, utakuwa lini ndg. yangu? mpaka leo hujui pamoja na matamko yote yaliyotolewa na WENYE NCHI HII kuwa Zenj sio nchi, huelewi tu. ZANZIBAR sio NCHI
 
Back
Top Bottom