Jamani naomba nieleweke katika hili tatizo la heleni na tundu lisu ni moja kama hawajatibiwa mda si mwingi wanaweza kuvaa nguo kichwani heleni siku hizi anahongwa mpaka kumi elfu ili atetee chama chake na kuichafua serikali ila hatafanikiwa na panga ambalo limetumika kukata mapembe ya wahuni wa mtwara lielekezwe kwake atatulizwa tu.Mkuu taasisi gani itaendelea kama hakuna driving force hasa ya man power?
BI.SIMBA pale alipo ndio taasisi ya haki za ninadamu.Yeye nabeba taasisi ndio maana ikiyokea taasisi imekwenda mrama kama hivi yeye anakuwa responsible.Pia kumbuka Kijo Bi simba ni mtendaji mkuu ndani ya Taasisi hiyo.
PLZ rudi darasani kasome Organization Theory
Kinywa daima hunena yaliyo moyoni ni ishara tosha kuwa chadema ndivyo wanavyokufanyia.Taswira anachowinda hapo ni bk 7 ya siku + laki 2 mwisho wa mwezi. Wachangiaji wa mada wanavyokuwa wengi ndiyo anazidi kupata uhakika wa hiyo laki 2 vinginevyo kwake haijalishi kama mnamponda kwa ----- aliopost ama la.
Huyu mtu anayeitwa Hellen Bi.Simba wa Haki za binadamu hapa Tanzania ni mnafiki sana.
Aidha naweza kusema anatumika na chama cha siasa hapa nchini.Kuna mambo nyeti yanayohusu haki za binadamu anakalia kimya pindi yanapojitokeza. ABSALOM KIBANDA ni mwandishi huyu,Lakini baada ya kutekwa na kuteswa hadi kupelekea kupoteza meno na jicho huyu Mama Hellen Bi simba alifyata mkia.Alifyata mkia just kwa sababu swala la Absalum Kibanda lilihusisha moja kwa moja chama flani cha siasa kinachombeba kwa mbeleko ya fedha za ruzuku na wafadhili wa chama hicho.
BI.SIMBA hukuona Kibanda alivyoteswa?mbona ulifyata mkia?Mbona kwa Ulimboka uliinuka fasta na kwenda barabarani kuandamana?
HELLEN BI SIMBA mbona umefyata mkia ukiukwaji wa haki za binadamu unaofanywa na chama cha siasa kumwagia tindikali watu? Kifo cha mwangosi lilikuwa na maslahi kwako?mbona uliinuka na kutoa tamko?
ITV Waliposema kijana aliyepigwa risasi pale morogoro kwenye mkutano wa chama flani,aliyerusha risasi alikuwa kwenye gari nyeupe.Mbona hukuinuka? WATANZANIA wote tunajua Polisi hawatumii gari nyeupe kwenye patrol zake.Ni wazi kunamtu aliwekwa atekeleze lile tukio ndio maana hata wahusika hawataki tukio lileliongelewe kwa sababu wanajua wameshajulikana.
BI.SIMBA mbona hukuinuka na kukemea Mbunge w chadema Sugu kwa kumtukana waziri mkuu kuwa ni --------?Kama wewe mi mtetezi wa kweli unawezaje kukalia kimya mambo kama haya?Kudhalilishwa huku kwa waziri huoni?Sio utamaduni wetu watanzania kurushiana matusi hivi tena kwa kiongozi mkubwa kama huyu.
UNATAKA tuanze kuamini tetesi kuwa wewe ni mnyarwanda na unatumika kudhoofisha serikali yetu?
Kauli ya waziri mkuu kimsingi inalala kwenye ile kauli mbiu halali ya Tii sheria bila shuruti,Kutii sheria bila shuruti hakupelekei mtu kupigwa.Lakini mtu asipo tiii sheria unataka abembelezwe?ni lazima ujiongeze kufikiri katika hili. NCHI GANI hii itakuwa inalea ujinga wa watu kufanya vurugu na serikali ikawakalia kimya?
HELLEN KIJO BI SIMBA ACHA KUTUMIKA NA CHAMA CHA SIASA,KAMA UMETUMWA NA KAGAME BASI TUACHIE NCHI YETU.[aliyekutuma amechemsha, we ni Adui wa haki?
We unaijua ya rwanda.Mmmm unaijua ya serikali mbili.
Jamani naomba nieleweke katika hili tatizo la heleni na tundu lisu ni moja kama hawajatibiwa mda si mwingi wanaweza kuvaa nguo kichwani heleni siku hizi anahongwa mpaka kumi elfu ili atetee chama chake na kuichafua serikali ila hatafanikiwa na panga ambalo limetumika kukata mapembe ya wahuni wa mtwara lielekezwe kwake atatulizwa tu.
Mkuu taasisi gani itaendelea kama hakuna driving force hasa ya man power?
BI.SIMBA pale alipo ndio taasisi ya haki za ninadamu.Yeye nabeba taasisi ndio maana ikiyokea taasisi imekwenda mrama kama hivi yeye anakuwa responsible.Pia kumbuka Kijo Bi simba ni mtendaji mkuu ndani ya Taasisi hiyo.
PLZ rudi darasani kasome Organization Theory
Huyu mtu anayeitwa Hellen
Bi.Simba wa Haki za binadamu hapa Tanzania ni mnafiki sana.
Aidha naweza kusema anatumika na chama cha siasa hapa nchini.Kuna mambo
nyeti yanayohusu haki za binadamu anakalia kimya pindi yanapojitokeza.
ABSALOM KIBANDA ni mwandishi huyu,Lakini baada ya kutekwa na kuteswa
hadi kupelekea kupoteza meno na jicho huyu Mama Hellen Bi simba alifyata
mkia.Alifyata mkia just kwa sababu swala la Absalum Kibanda lilihusisha
moja kwa moja chama flani cha siasa kinachombeba kwa mbeleko ya fedha
za ruzuku na wafadhili wa chama hicho.
BI.SIMBA hukuona Kibanda alivyoteswa?mbona ulifyata mkia?Mbona kwa
Ulimboka uliinuka fasta na kwenda barabarani kuandamana?
HELLEN BI SIMBA mbona umefyata mkia ukiukwaji wa haki za binadamu
unaofanywa na chama cha siasa kumwagia tindikali watu? Kifo cha mwangosi
lilikuwa na maslahi kwako?mbona uliinuka na kutoa tamko?
ITV Waliposema kijana aliyepigwa risasi pale morogoro kwenye mkutano wa
chama flani,aliyerusha risasi alikuwa kwenye gari nyeupe.Mbona
hukuinuka? WATANZANIA wote tunajua Polisi hawatumii gari nyeupe kwenye
patrol zake.Ni wazi kunamtu aliwekwa atekeleze lile tukio ndio maana
hata wahusika hawataki tukio lileliongelewe kwa sababu wanajua
wameshajulikana.
BI.SIMBA mbona hukuinuka na kukemea Mbunge w chadema Sugu kwa kumtukana
waziri mkuu kuwa ni --------?Kama wewe mi mtetezi wa kweli unawezaje
kukalia kimya mambo kama haya?Kudhalilishwa huku kwa waziri huoni?Sio
utamaduni wetu watanzania kurushiana matusi hivi tena kwa kiongozi
mkubwa kama huyu.
UNATAKA tuanze kuamini tetesi kuwa wewe ni mnyarwanda na unatumika
kudhoofisha serikali yetu?
Kauli ya waziri mkuu kimsingi inalala kwenye ile kauli mbiu halali ya
Tii sheria bila shuruti,Kutii sheria bila shuruti hakupelekei mtu
kupigwa.Lakini mtu asipo tiii sheria unataka abembelezwe?ni lazima
ujiongeze kufikiri katika hili. NCHI GANI hii itakuwa inalea ujinga wa
watu kufanya vurugu na serikali ikawakalia kimya?
HELLEN KIJO BI SIMBA ACHA KUTUMIKA NA CHAMA CHA SIASA,KAMA UMETUMWA NA
KAGAME BASI TUACHIE NCHI YETU.
Kinywa daima hunena yaliyo moyoni ni ishara tosha kuwa chadema ndivyo wanavyokufanyia.
Mimi sinahaja ya kujitambua kwa hilo ila jamii ninayoitumikia ndiyo inayojua umhimu wangu hapa duniani nadhani ushanipata.Unajitambua na kuheshim uwepo wako hapa dunian hususan Tanzania?
Huyu mtu anayeitwa Hellen Bi.Simba wa Haki za binadamu hapa Tanzania ni mnafiki sana.
Aidha naweza kusema anatumika na chama cha siasa hapa nchini.Kuna mambo nyeti yanayohusu haki za binadamu anakalia kimya pindi yanapojitokeza. ABSALOM KIBANDA ni mwandishi huyu,Lakini baada ya kutekwa na kuteswa hadi kupelekea kupoteza meno na jicho huyu Mama Hellen Bi simba alifyata mkia.Alifyata mkia just kwa sababu swala la Absalum Kibanda lilihusisha moja kwa moja chama flani cha siasa kinachombeba kwa mbeleko ya fedha za ruzuku na wafadhili wa chama hicho.
BI.SIMBA hukuona Kibanda alivyoteswa?mbona ulifyata mkia?Mbona kwa Ulimboka uliinuka fasta na kwenda barabarani kuandamana?
HELLEN BI SIMBA mbona umefyata mkia ukiukwaji wa haki za binadamu unaofanywa na chama cha siasa kumwagia tindikali watu? Kifo cha mwangosi lilikuwa na maslahi kwako?mbona uliinuka na kutoa tamko?
ITV Waliposema kijana aliyepigwa risasi pale morogoro kwenye mkutano wa chama flani,aliyerusha risasi alikuwa kwenye gari nyeupe.Mbona hukuinuka? WATANZANIA wote tunajua Polisi hawatumii gari nyeupe kwenye patrol zake.Ni wazi kunamtu aliwekwa atekeleze lile tukio ndio maana hata wahusika hawataki tukio lileliongelewe kwa sababu wanajua wameshajulikana.
BI.SIMBA mbona hukuinuka na kukemea Mbunge w chadema Sugu kwa kumtukana waziri mkuu kuwa ni --------?Kama wewe mi mtetezi wa kweli unawezaje kukalia kimya mambo kama haya?Kudhalilishwa huku kwa waziri huoni?Sio utamaduni wetu watanzania kurushiana matusi hivi tena kwa kiongozi mkubwa kama huyu.
UNATAKA tuanze kuamini tetesi kuwa wewe ni mnyarwanda na unatumika kudhoofisha serikali yetu?
Kauli ya waziri mkuu kimsingi inalala kwenye ile kauli mbiu halali ya Tii sheria bila shuruti,Kutii sheria bila shuruti hakupelekei mtu kupigwa.Lakini mtu asipo tiii sheria unataka abembelezwe?ni lazima ujiongeze kufikiri katika hili. NCHI GANI hii itakuwa inalea ujinga wa watu kufanya vurugu na serikali ikawakalia kimya?
HELLEN KIJO BI SIMBA ACHA KUTUMIKA NA CHAMA CHA SIASA,KAMA UMETUMWA NA KAGAME BASI TUACHIE NCHI YETU.
Utajijua unajifanya unamgongo mpana kama kijo,utakufa kwa hisia za ajabu kitanda ulichokitandika utakitandua tu.Is UNCLE DEO = TASWIRA?
is uncle deo = taswira?
Is UNCLE DEO = TASWIRA?
Mimi sinahaja ya kujitambua kwa hilo ila jamii ninayoitumikia ndiyo inayojua umhimu wangu hapa duniani nadhani ushanipata.