Unafiki wa CUF kuhusu muungano

Unafiki wa CUF kuhusu muungano

Hivi lini mtaanza mchakato wa Katiba yenu ya Tanganyika!!!?
 
Mtoa mada huu muungano ulivunjwa kitambo,jiulize mambo yasiyo ya muungano ya tanganyika yalikuwa yanashughulikiwa na serekali gani.

Na km watalazimisha Muungano wa Shirikisho wajue pasu kwa pasu yaani 50/50.
Mfano wabunge wa Muungano wawe 25 kwa 25 hakuna 50 kwa 20.
Mabolozi km ni 50 itakuwa 25/25 mupo!!!
 
Back
Top Bottom