Nyie vijana wa bavicha mnaopenda kuwafanya moderators ni vijakazi wenu. Ni nani asiekufahamu wewe kuwa unatumika? UNADHANI HAWA MODS NI WAJINGA KAMA ULIVYO?
Adhabu ya kusimamisha kugombea mwaka mmoja ndio ina impact gani kama sio danganya toto?
we ben,unaposema mabadiliko ndani ya chama unamanisha nn??,kwako we mabadiliko ni nini??,kukiuka katiba na kujirefushia muda wa uenyekiti we kwako ni mabadiliko ndani ya chama.unabadilisha nn mdan ya chama??,huu si unafiki,unamsimamo gani wewe mpaka sasa unaoweza kusimama kwa watu ukasema tukakuelewa??zaidi ya kuchongea wenzako na kufitini kwa chini chini.kama ulikuwa unajua kila kitu kabla mbona kwa mambo ya viongozi wa juu wa chama tunayajua mengi na kama wewee ni spy mbona husemi??.huu sio unafiki??mbona wao juwaambii kwamba wanaenda kinyume??,KUJIMOMBAKOMBA hakudumu.
jina halijengwi kwa unafiki na majungu na kujipendekeza,simamia upande mmoja sio unauma huku na huku kisha unapuliza,nakufahm sana tangu unaanza mambo ya siasa mpaka sasa ama unataka nianike kila kitu chako hapa.??, jaribu kuwa na msimamo.nikwambie tu kwamba nakujua sana,kuamka mpaka kulala kwako,.mfano trh.09-11.2013, saa 00:45 - 01:14,ulikuwa wapi na akina nani na mlipanga nni??,mbona hii husemi??,kwa nn unazunguka wenzako??,
Tapeli la gesi haitoki ukaja na gia ya watu kukuona unatetea wananchi kumbe equally ni mchumia tumbo unajipendekeza kwa Kinana nmng,oa pembe za ndovu au wassira muuaji wapinzani kwa mabomu ya kurushwa aibu nuwezi kuimba DR Slaa asubuhi mpaka usiku wa manane as if umewekwa kuwa prefect ujinga kuattack mtu mmoja tumekusoma sasa umefeli maisha kama hao unaowataja huna hoja zaidi ya book 7
Adhabu ya kusimamisha kugombea mwaka mmoja ndio ina impact gani kama sio danganya toto?
ha ha leo robot la CCM wameliprogramme kusema maneno hayo utayasema mara 100 zitto ameshajua sasa kwamba au ashirikiana na wenziwe au asepa achape lapa manake tangu ang,olewe vyeo wanaomlilia sijui kumgombea mpaka sasa hawajifika ishirini ha ha ndio anayesema nina wafuasi anaibuka mmoja ansema baada yaku rushiwa vila ki na nusu ashukuru vijisenti vya kutoka ujerumani haja vimaliza vikaisha hata hao wakudunduliza ili wamsifu kwamba ni zaidi ya chadema hatawapata atabaki hatoki mtu hapa duhAmesimamishwa kugombea uongozi kwa mwaka mmoja lakini katika mwaka huo aliosimamishwa hakuna uchaguzi wowote ndani ya chama!!!
Chadema ni chama kinachoendeshwa katika misingi ya kilaghai.
"Mida Eight anatumiwa na Dr. Slaa kugombanisha viongozi" - waraka
wewe u mwenyewe hapo unasema majungu
Amesimamishwa kugombea uongozi kwa mwaka mmoja lakini katika mwaka huo aliosimamishwa hakuna uchaguzi wowote ndani ya chama!!!
Chadema ni chama kinachoendeshwa katika misingi ya kilaghai.
"Mida Eight anatumiwa na Dr. Slaa kugombanisha viongozi" - waraka
Zemarcopolo ana akili ni basi anajitoa ufaham,mabandiko yake anategemea yamfungulie njia ya u-DC au u-MP
Mods wa JF wana kazi zo zenye heshima,hata siku moja huwez kuwakuta wanahangaika na wachumia tumbo na watu waliofeli kimaisha kama wewe na yericko,nani asiewafaham humu ndan kuwa nyinyi ni watu wa kujipendekeza kwa Wilbroad Slaa kwa kutumain eti akichukua nchi basi mtapata japo kazi ya ufagiz pale ikulu??mnaota ndoto za mchana sana,
THANKS MODS KWA KUPUUZA MATAPELI KAMA HAWA,SISI TUTAWAUNGA MKONO KATIKA KUWAPIGA VITA
zemarcopolo kachukua lip service somewhere na sasa anaamini kaahidiwa, ni zao la wanasiasa wa zamani walioshindwa hata kujua kinondoni kama wilaya ina public owned land ya kiasi gani, ni zao la walioneemeka kupitia kwa wapishi na waramba miguu wa kambarage... hana chochote cha kusema atabenefit
in short he is an outsider to everything in the system, siasa za ccm, usalama, sekta yake ya fani aliyosomeshwa nk.
he doesnt know kwasababu ameamua kudhani he knows everything, it is sad, he was good back in the days, but whoever led him to siasa takataka ni wa kulaaniwa vikali... alikua level moja na vijana wengi tu ambao wameamua kubaki ccm lakini kuachana na uvuvuzela wa siasa za mipaho ya mitandaoni
things are changing, hata ninyi akina Ben you need to watch out, siasa ni zaidi ya majibizano yasiyo na tija, si kila hoja lazima ijibiwe, si kila uwazacho lazima kije public
it is a shame, but a very unfotrunate truth kwamba vijana hadi sasa hakuna kitu, every young Tanzanian with potential anaangukia palepale mnapoangukia, "thinking you are all that"!!!
VERY SAD FACT, AND THE WORST FOR SUCH A BEAUTIFUL AND LOVELY COUNTRY KAMA TANZANIA
Huu ushauri Mida Eight akiufanyia kazi utamfaa sana...
ni wote tu dogo... mko kwenye the same boat, you just dont see each other
young, potential, egoistic, myopic, "all that", wasted a little etc.
you are a mirror image of Ben.... na wote mlibahatika kwenda shule, na mkabahatika kupasi mitihani, ila sasa mmebahatika pia kufeli visions.... mmekua incidences badala ya significances
it pains sisi kaka zenu kuona hata Lusinde au yule mbunge wa musoma mjini wana nafuu
really sad
Wewe Kama kweli ulikua mtetezi wa gesi Hebu jaribu kufikisha tena mguu Mtwara useme lolote usipoishia kubakwa mchumia tumbo weweMods wa JF wana kazi zo zenye heshima,hata siku moja huwez kuwakuta wanahangaika na wachumia tumbo na watu waliofeli kimaisha kama wewe na yericko,nani asiewafaham humu ndan kuwa nyinyi ni watu wa kujipendekeza kwa Wilbroad Slaa kwa kutumain eti akichukua nchi basi mtapata japo kazi ya ufagiz pale ikulu??mnaota ndoto za mchana sana,
THANKS MODS KWA KUPUUZA MATAPELI KAMA HAWA,SISI TUTAWAUNGA MKONO KATIKA KUWAPIGA VITA
Mjadala umefungwa...
Mods wa JF wana kazi zo zenye heshima,hata siku moja huwez kuwakuta wanahangaika na wachumia tumbo na watu waliofeli kimaisha kama wewe na yericko,nani asiewafaham humu ndan kuwa nyinyi ni watu wa kujipendekeza kwa Wilbroad Slaa kwa kutumain eti akichukua nchi basi mtapata japo kazi ya ufagiz pale ikulu??mnaota ndoto za mchana sana,
THANKS MODS KWA KUPUUZA MATAPELI KAMA HAWA,SISI TUTAWAUNGA MKONO KATIKA KUWAPIGA VITA