lee Vladimir cleef
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 9,571
- 35,485
Leo tena baada ya kuwaaminisha wapambe wake dunia nzima kuwa Cuba ni tifa baya sana hata kufikia kuiwekea vikwazo kwa miaka zaidi ya 30 nchi hiyo ndogo ya kisiwa sasa Marekani amegeuka,ameiangukia CUBA na eti anakuja na vijineno kuwa ataiondoa nchi hiyo imara na isiyotetereka katika orodha ya nchi wafadhiri wa IGAIDI duniani.CUBA? kweli Cuba inafadhiri Ugaidi?
Taifa hilihili kubwa duniani liliwahi kumtangaza NELSON MANDELA kuwa ni gaidi na ni mtu hatari zaidi DUNIANI.Na sijasikia kama wameshamuondoa ktk orodha hiyo.Mandela? Kweli Mandela ni mtu hatari duniani kuliko watu hatari wote.
Sasa Cuba imefanya nini hadi ikastahili kuondolewa? na Mfungwa yule wa kisiasa alitishia usalama gani wa dunia kiasi cha kuwa mtu hatari namba 1 huku akiwa jela miaka zaidi ya 25?
RUSSIA iliingizwa kwenye G7 na kufanya kundi hilo kuwa G8.Russia ilipowaunga mkono wapiganaji wanaotaka kijitenga na Ukraine Marekani ikatoa amri Urusi iondolewe kwe G8.Ala baada ya kutofautiana na WEST Urusi tena imekua sio nchi tajiri,imefilisika? kutofautiana na WEST kumeipunguzia sifa ya kuwa nchi tajiri hivyo ikafulizwa.Kwa hiyo huo umoja wa nchi nane tajiri zaidi duniani hauna vigezo? ni club tu.Umoja huu wa G7 CHINA haimo.Lol.
Nakwambieni hivi mda si mwingi North Korea na Iran zitafunguliwa sacramenti na vifungo vyote.Ukitofautiana na marekani tu utaitwa mtu hatari,mhimili wa shetani na mfadhiri wa ugaidi.Marekani ni muumini wa demokrasia.
Demokrasia ni uhuru wa kusema na kuchagua mlengo.Ndani ya marekani kuna uhuru sana wa kusema na kuchagua lakini kwa dunia Marekani hairuhusu demokrasia ya kuchagua mlengo.Nchi yoyote ikichagua mlengo asioupenda Marekani hiyo ni adui wa marekani.mrengo kama ujamaa,ukokunisti au kuwa na rafiki asiependwa na marekani.Haya ndio yamezighalimu Cuba,NK,n.k.