Wana sababu zao za kutisha sana na hii kitu inanipa hofu kubwa kwakuwa huko tuendako huko..!Mkuu hawa viongozi wa Afrika wana unafiki sana,kwanza wanajitoa ni kweli kupisha uonevu wa hiyo mahakama au ni njia ya kushikiria madaraka na uonevu juu ya raia wake? maana hapo nawaona ni viongozi ma dikteta ndio wamekomalia kwelikweli
Tunapata picha gani hapa?Wasipotukazia hivyo tutachinjana kama kuku!
Wanatupa silaha kujilinda, ila sisi tunazitumia kuuana!
Tatizo hapo si mzungu bali sisi wenyewe!
[HASHTAG]#Waafrika[/HASHTAG] & Waarabu ni nuksi sana#
Teh! Tuko cheap sana ...Tunapata picha gani hapa?View attachment 422672View attachment 422673European union wauza silaha wakubwa duniani ndio wametoa fungu nono kwa ajili ya mahakama hiyo
Acha uwiano uwe 9/12 sioni hata ndururu ya mwafrika hapo [emoji15] [emoji35] [emoji15] [emoji35] [emoji15]
Ona Burundi alivyokurupuka akataka kujitoa haraka haraka lakini akaambiwa asome katiba ya ICC kwanza (kumbe hata walikuwa hawajaisoma) kwamba unatakiwa kwanza utoe notice ya mwaka mmoja ukieleza kusudio la kujitoa ndio mchakato uanze!Unajua kipindi viongozi wa kiafrika wanasign kujiunga na hiyo mahakama hawakujua kua haibagui mtu hata wao kama viongozi wanapelekwa. Wao target Yao ilikua kwa wapinzani wao kisiasa kuja kutahamaki wao ndio hasa wateja kwani wengi wao ni wauaji. Sasa wanahaha kujiondoa kwa sababu za kitoto wakati tunajua huku nyumbani wamejiwekea kinga ya kutoshitakiwa kwa kosa lolote. Africans tuna safari ndefu sana kuwa modern society. Pia tunatia aibu sana
CHARMILTON baba mwenye nyumba hashtakiwi, Ukiangalia bajeti ya ICC kwa asilimia 90 no umoja wa ulaya na miundombinu pia na hata makao makuu yako huko kwahiyo hapo unaweza kupata picha pana zaidiHii Mahakama ilianzishwa kwa makusudi mema lakini imegeuka kama fimbo ya kuchapia wanyonge.
Kama ICC ingekuwa Mahakama ya kutenda haki, leo hii Bush na Blair wangeshashtakiwa.
Kama vuguvugu la Africa kujitoa ICC litafanikiwa, tutashuhudi makundi mengi sana ya uhasi Africa.Wazungu watafanya kila mbinu kuhakikisha wanawabana viongozi wasiowapenda.
Sudan kusini nani anawachochea, burundi, kongo kabila mda wake umeisha bado tu anapiga brah brah. Sisi waafrika tunapenda sana madaraka bila kujali utu. Tutajie mtu aliepelekwa ICC alieonewa. Haya tumejitoa sababu wazungu hawajapelekwa. Mkurunzinza atapekekwa mahakama ipi? Ana kinga katika nchi yake na viongozi wengine wanaoonea wananchi wao je haki zao zitalindwa vipi?Hii Mahakama ilianzishwa kwa makusudi mema lakini imegeuka kama fimbo ya kuchapia wanyonge.
Kama ICC ingekuwa Mahakama ya kutenda haki, leo hii Bush na Blair wangeshashtakiwa.
Kama vuguvugu la Africa kujitoa ICC litafanikiwa, tutashuhudi makundi mengi sana ya uhasi Africa.Wazungu watafanya kila mbinu kuhakikisha wanawabana viongozi wasiowapenda.
Saf[emoji41]Unajua kipindi viongozi wa kiafrika wanasign kujiunga na hiyo mahakama hawakujua kua haibagui mtu hata wao kama viongozi wanapelekwa. Wao target Yao ilikua kwa wapinzani wao kisiasa kuja kutahamaki wao ndio hasa wateja kwani wengi wao ni wauaji. Sasa wanahaha kujiondoa kwa sababu za kitoto wakati tunajua huku nyumbani wamejiwekea kinga ya kutoshitakiwa kwa kosa lolote. Africans tuna safari ndefu sana kuwa modern society. Pia tunatia aibu sana
Sudan kusini nani anawachochea, burundi, kongo kabila mda wake umeisha bado tu anapiga brah brah. Sisi waafrika tunapenda sana madaraka bila kujali utu. Tutajie mtu aliepelekwa ICC alieonewa. Haya tumejitoa sababu wazungu hawajapelekwa. Mkurunzinza atapekekwa mahakama ipi? Ana kinga katika nchi yake na viongozi wengine wanaoonea wananchi wao je haki zao zitalindwa vipi?
Kwanza kabisa Africa inatakiwa ipatiwe elimu ili ielimike.CHARMILTON baba mwenye nyumba hashtakiwi, Ukiangalia bajeti ya ICC kwa asilimia 90 no umoja wa ulaya na miundombinu pia na hata makao makuu yako huko kwahiyo hapo unaweza kupata picha pana zaidi