Unafiki au Ulimbukeni?

Excellent view
 
Mi simuelewi huyu mtu jamani haoni hata thamani ya pesa yetu jamani mkapa ameacha usd 1 = 1160 na sasa ni 1500 yaani huyu mtu haoni utofauti wowote?? Ongezeko la ths 400 ni dogo kwake kwa dola moja! Au ndo ukada wake huo,
hance hata bia lazima iwe juu kutokana na uchumi wetu kushuka.
Au ni ukilaza wa mtu lakini kwa nini usiwaulize wanaojua uchumi wakusaidie?????
 
Tupe takwimu za pound vs dollar au yen vs dollar na yen vs pound.
 
Aisee!!!
wewe ndo NAFIKI NA LIMBUKENI
Nimejaribu whole time kujaribu kukutenganisha na hivyo vitu lakini una ingredients zooote.
 
angalia kwenye website ya bot utaona hayo yoote!!

So biased.Ulipotoa hiyo part ya dollar na shillingi ungetoa na ya nchi nyingine tupate kufanya uchambuzi.Inaonyesha uwezo wako finyu wa kuchanganua mambo.
 
Ana point maana siri-kali inapenda kupandisha TAX kwenye bia na sigara daily, wanajua demand yake ni inelastic yaani hata kama ni kuwanyima msosi watoto nyumbani watu watanunua tu, no mater the price.
 
My question is:kipi ni bora,kuongeza wigo wa kodi kwa vyanzo vya ndani au kukimbilia wahisani?Kweli usingizi unatunyemelea
 
Ana point maana siri-kali inapenda kupandisha TAX kwenye bia na sigara daily, wanajua demand yake ni inelastic yaani hata kama ni kuwanyima msosi watoto nyumbani watu watanunua tu, no mater the price.

So you think that is the correct way of moving the economy kuendelea kuwabamiza sekta pekee za uzalishaji zilizobakia na kuwaachia sekta zengine zikipeta tu. Fiscal policy has to a flexible policy kutokana na mahitaji ya nchi husika kwasababu in the long run hizo sekta wanazozibamiza tax zitakuja kushindwa kumudu kwasababu wateja watashindwa kununua bia na viwanda vitafungwa na huku zile rasilimali tunazoziacha zikayoyoma tutakuwa hatuna tena.

Binafsi kama wanaongeza kodi za vinywaji basi kuweko na long term plan ya kutoa subsidies kwa viwanda vidogo vidogo ili nao waweze kuzalisha bia za ubora. ili wakija kupunguza kodi baadae tunaweza kuwa tumeongeza viwanda na kuongeza mapato. Serikali yetu inafikiria njia moja pandisha kodi wanasahau kuna njia nyingi za kuongeza mapato moja wapo ni kupunguza matumizi ya serikali.
 
So biased.Ulipotoa hiyo part ya dollar na shillingi ungetoa na ya nchi nyingine tupate kufanya uchambuzi.Inaonyesha uwezo wako finyu wa kuchanganua mambo.

we kilaza umenunuliwa wewe kama mjomba wako makamba
 
Not so bad.It helps me understand the type of people am trying to talk to.
dude, you have been here whole out and still trying to talk? be real bana.

The bad side of it, unatetea ulimbukeni wa serikali kukimbilia kupandisha bei za soda, bia na sigara wakati kuna maeneo ya kufanyia kazi
 
Jamaa taahira huyo!
 
Vile vile wasing'ang'ane na kodi katika vitu vidogo kama vinywaji, sekta ya madini ni sekta muhimu sana hasa wakati huu ambapo madini kama dhahabu yamekuwa yanaaminika zaidi katika financial market than some leading global currencies. Sasa wakati thamani gold iko juu na inaendelea kupaa sie tunasemehe kodi. Pia hata kile kinapatikana hatukioni. Wakipanua wigo wa kodi itasaidia kuongeza mapato ya serikali. Lakini tujiulize kwanini thamani ya sarafu pia ni muhimu ikawa controlled?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…