Unafata nini ghetto kama unajua hutatoa tunda!

Unafata nini ghetto kama unajua hutatoa tunda!

Ipo siku atakuja na akija mpige style ya "Lala kama ibilisi".
 
Wakuu wasalam

Kuna madem wanazingua kinoma, unampanga anakubali. Unajiandaa vizuri, mwanamke anafika anaanza sipo vizuri, sijajiandaa, leo simba wanaruka. Sasa kama ulijua hivyo umefata nini!

....
Hata kama huna hela hakikisha ngono isiwe kitu inaweza kukuendesha kama hataki wala usimsumbue mwache tu apumzike akimchoka aende
 
Hata kama huna hela hakikisha ngono isiwe kitu inaweza kukuendesha kama hataki wala usimsumbue mwache tu apumzike akimchoka aende
Mkuu hebu soma title halafu jiulize 😁"ilipaswa nijibu"
 
Back
Top Bottom