Egyps-women
JF-Expert Member
- Feb 5, 2010
- 497
- 107
mi huwa nalia weeee then nawapm niwapendao humu jf
nikutajie?
believe me utaregret
pole love
PM hata mimi sijaielewa kama hawapo hewani??kuwa PM JF tena mmh hebu nitajie ni kina nani
Signature yangu inasema PM not....
Mimi huwa naingia JF, hasa katika jukwaa hili au la utani, ukiwa katika hali hiyo usithubutu kuingia jukwaa la siasa.....
Tehe tehe kule ukiingia na stress zako unaweza kuishia kupigwa ban...huko mie sitaki hata kuchungulia
kuwa PM JF tena mmh hebu nitajie ni kina nani
Signature yangu inasema PM not....
Fulani akili inasema no..Fulani no...not trusted
and and ..unafanyaje?
...
Aisee, jichagulie mtu wa kuongea naye
Sehemu yoyte, vinginevyo utapasuka
Life is full of stress
Ila kumchagua mtu pia is a challenge
Sometimes anakushangaa kwa nini unamweleza yote hayo
Dah, its very complicated.
Tehe tehe kule ukiingia na stress zako unaweza kuishia kupigwa ban...
asante sana kongosho kwa ushauri mzuri
Lakini je unajua maisha kuna ups and down huyo stranger nikiongea nae na kumwachia siku nyingine tena nikitaka mtu wa kuongea nae natafuta tena stranger ?
huwa naingia sana sana jukwaa la mwisho jf napunguza stress kwa 100%
Msuba. Msuba. Msuba....
Go somewhere, ambako no one knows you
pick a stranger, jaribu kuangalia mtu matured, tena ukipata anayekuzidi umri
Ongea naye, usimwachie contact yeyote wala trace yeyote ya kukufahamu
Utakuwa comfortable kuongea ukweli.