Kwanza nilishikwa na hacra juu yake, nikajiuliza ana matatizo gani huyu mdada? hakika niliamini kuwa either hana akili timamu au ni limbukeni wa mawazo. Yaani nikawaza miaka mi3 tangu mtengane, mwanaume hana contacts kabisa na wewe pamoja na kuwa na mwanaye unayemhudumia kwa kila kitu, bado anamfikiria na kumuingiza katika kila shauri la maisha yake! Hakika sikumwelewa! hata kama walioana kisheria wakatendeana vya kutendeana, but, mume akaenda kivyake, na mke na mtoto wakakaa kivyake .
Lakini baada ya kutulia nikajiuliza
1. Unafanyaje iwapo umri unakwenda nawe unatamani kuwa na mtoto hata kama situation yako ni complicated?
Wa nje ni wanje tu, na wa ndani ni wandani tu.
Wa nje unajichagulia mwenyewe umpendaye, na wa ndani huna ujanja lazima huyo huyo.
Umesikia au bado, mana wengine mpaa mtumie wireless microphone spekaer ndo wanasikia.
mimi kwishagonga LIKE kule juu...........kakague...
...Oohhh mungu wangu wee...nini tena soulmate, nini tatizo?
nahisi sihitajiki kuchangia lolote humu :A S-coffee:...Biggie nigongee like moja hapa na mimi aisee..
MJ1,
Hivi ni lazima kuzaa hata kama huna mwenza??
...Umenikumbusha swali la Bikra Maria baada ya kutokewa na Malaika....Litanitokeaje neno hili na mie sina mume??
Babu DC!!
mi kazi yangu ni kugonga 'LIKE' tu, kuanzia mwanzo hadi mwisho..............'LIKE' is my comment!!!
wapi kesto laiti niendelee kugonga LIKE hapa.
Kwanza nilishikwa na hacra juu yake, nikajiuliza ana matatizo gani huyu mdada? hakika niliamini kuwa either hana akili timamu au ni limbukeni wa mawazo. Yaani nikawaza miaka mi3 tangu mtengane, mwanaume hana contacts kabisa na wewe pamoja na kuwa na mwanaye unayemhudumia kwa kila kitu, bado anamfikiria na kumuingiza katika kila shauri la maisha yake! Hakika sikumwelewa! hata kama walioana kisheria wakatendeana vya kutendeana, but, mume akaenda kivyake, na mke na mtoto wakakaa kivyake .
Lakini baada ya kutulia nikajiuliza
1. Unafanyaje iwapo umri unakwenda nawe unatamani kuwa na mtoto hata kama situation yako ni complicated?
Asante kamanda,....nahisi DC naye atatupiwa lake la uso sasa hivi, maswali gani hayo mstaafu?
oopppss,... nilisema niendelee kuwa msomaji kwanza mpaka nitapopewa ruhsa na soulmate kutoa mawazo kwa
huyo mdada'ke...

Aksante Babu nahisi umenielewa nilichokuwa ninakifikiria mimi. Je ni lazima hiyo 'vacuum' ijazwe na wa damu yako?!
inabidi usubiri mpaka hapo situation yako itakapochange,hizo tamaa za kuwa na mtoto peke yako ni uselfishness ambao mtoto ndoo ataathirika,kumbuka mtoto anahitaji kulelewa ktk cunducive environmnent na kwa mapenzi ya baba na mama...ukimjali mtoto kwanza,utaweka tamaa zako pembeni mpaka hali itakaporuhusu.hio paragraph ya kwanza sijaelewa nani katendwa tena?
Hapo sijakuelewa dada,
Una maana wa hapa duniani au consangunous??
Au umewaza kufanya majaribio na watu wan NASA??
Babu DC
Aksante sana Jestina.............. hiyo para ya kwanza ilikuwa ni mshangao wangu mie kwa huyu rafiki dada yangu.
Hapo nimekuelewa kwa hiyo asubiri hata kama hakuna mawasiliano na huyo mzazi mwenzie?! (Mie kilichonishangaza hasa ni ule uamuzi wake anaotaka kuufanya wa kumtafuta huyo mbaba ili amtegeshee!
Yaani ijazwe na yule wa kuadopt nawe ukaridhika nafsi.
Kamanda kumbe ile PhD haijaisha??
aisee...:rant:
Mweleze kuwa hayo mawazo yake ni sawa na kuandaa experiment ya kuonja ladha ya cyanide!!
Anyway....mshauri ausikilize moyo wake...Ila ka uzoefu kangu kanaonesha kuwa wadada wengi wanaona upenyo rahisi ni kuwakimbilia ma-Ex wao!!
Babu DC!!
Ah Babu DC banaSijui dada kwa sababu sijawahi kuishughulisha hii akili yangu ya 1947 na psychology ya adoption....Sijui kama ina tofauti sana na matumizi ya pet animals
Ukaona hapa hapatoshi eh?! Wa nje na ndani ndo wakoje?