Mrema wa visungura anasemaje kwaniHivi wewe unajisikiaje unapotukanwa Matusi ya Nguoni na Mlevi anaekunywa Pombe mpaka anajinyea? How do you feel?
Yaani mlevi anaekunywa pombe mpaka anashindwa kujizuia haja kubwa anaanza kukutukana unajisikiaje?
Samahani kwa wale wanaokunywa kistaarabu, namaanisha sizungumzii wewe unaekunywa bia 3/4 na kwenda kulala, hapa namzungumzia yule ambae analala na makreti ya bia yeye chai yake ni pombe mlo wa mchana pombe chakula cha usiku pombe na anakunywa mpaka Visungura sijuo Kick nini na upuuzi mwingine.
Mkuu mtu mwenyewe hafai hata kupigwa, ungemuona hata usingesema hivyo yaanHuyo anakutukana kwa kupania,sio kwamba anakutukana kisa amelewa,pombe humuondolea tu aibu ya kukutukana,
Piga mitama na makofi ya maana,uone kama siku nyingine atakutukana,piga kofi la kwenye sikio mpaka asikie ile sauti ya nyuki.
Mrekodi kesho umsikilizisheShida ni kwamba haachi ataomba leo msamaha kesho kesho kutwa mitusi tena upya
Basi kua mpole tu...Hafai kupigwa unataka nipewe kesi ya mauaji?
Kila siku anakutukana kwani mnakutana wapi hiyo kila siku?Shida ni kwamba haachi ataomba leo msamaha kesho kesho kutwa mitusi tena upya
Inauma sana mkuu acha tuHii ishanitokea twice
1st - Nilitukanwa na shoga mzee, yani anapigwa miti na wakongo mpaka akawa na lafudhi ya kikongo
Hurt me big time, nikavunga, kesho yake katika pita pita zangu sinza huyu hapa - nikamuliza unajua jana ulinitukana. Alipiga magoti kuomba msamaha - nikaona teyari alipo anateseka niachane nae, maumivu anayopitia yanamtosha
2nd - Alinitukana matusi ya nguoni ambayo sijawahi tukanwa toka nizaliwe
Niko nje ya geti, nulitamani nimkwide sema wahuni sio watu wa kugombana nao, anaweza Tia nyumba moto - nikavunga
Katika matusi lililoniuma zaidi "unajikuta una hela, we k*m* tu, mimi k*ma ila wewe k*u** kubwa zaidi"
Kulikuwa na watu nyomi nilitamani nilie maana matusi kama alisonea sheria za matusi
Siku hizi akinion ananisalimia, ila iko siku yake ataingia kingi, sijawah kutukanwq kiasi kile. Mdfck
Watu kama hao, yani life punish them in other wayInauma sana mkuu acha tu
Kwa hio mkuu na wewe unamlipia kwa mkewe?Watu kama hao, yani life punish them in other way
Jamaa wa pili Alianza kunisalimia kwa kichwa, baadae akawa ananisalimia kwa maneno na hakuwahi hata kuomba msamaha
Mke wake nimekutana leo, kanikonyesha na kunipiga busu la mkono na kunirushia.
Bado adhabu yake inachemka, naitafakari kwa kina