Unafanya nini mbwa wako kuwa mkali

Kweli unahisi Mimi nimekariri hii ni fani yangu vet..hawa pitbull nimekuwa nao unadhi kwann pitbull hawatumiki zaid kwenye ulinzi na usalama kwa askari?
Kuto kutumika kwa asakari hiyo ipo wazi mkuu hizo breed 2 kichwa chao hakiendani na matakwa ya hiyo kazi. Ndio maana hata wa unasaji hawatoki kwenye gsd,wanatoka kwenye breed zingine
 
Nimegundua kuwa kuna matunzo mbalimbali ya mbwa.
Hakuna kanuni iliyo rasmi.
Mie nafuga mbwa kama kitoweo.
Mndali
 
Nimegundua kuwa kuna matunzo mbalimbali ya mbwa.
Hakuna kanuni iliyo rasmi.
Mie nafuga mbwa kama kitoweo.
Mndali
Kanuni zipo shida ni kwa sisi wafugaji huwa hatupendi kusikiliza wataalamu wanatuelekeza nini, vet ndio aliyesomea hiyo kazi kwanini tunawabishia?na kuongeza maujuzi yetu?
 
Mbwa wako wana umri gani?mbwa unaweza hata kumlisha mara 2 na akawa sawa kabisa kikubwa ni kufwata kiasi maalumu cha kumlisha mbwa,unga wa mahindi sio mzuri kwa mbwa
Mkuu wangu wanakula dona. Wana miaka miwili. Jike kazaa mwezi ulopita wazuri kweli
 
Mkuu mbwa wangu nawafungulia usiku asubuhi nawafungia. Mchana hawabanwi haja.? Wakibanwa wataenda wapi.? Sifugi Pappy nafuga wa ulinzi.

Labda kama hufugi mbwa wa ulinzi. Au wa kwako unawaachia wanazunguka kutwa nzima
 
Kwanza wewe mwenyewe ukilala usiku uwe KAMILIGADO..
 
Natafuta gsd
 
Mimi Mbwa wangu ni wakali ila wanajisaidia bandani kwa kweli wananikera sana, maana kila saa nne usiku nawafungulia mpk saa 12 ahsubuhi lakini bado wanajisaidia bandani na ni wakubwa sijui wataalamu mnashauri vp hapo ?
Akijisaidia bandani mnusishe kinyesi chake humo humo bandani alafu chapa fimbo za ukweli huku unarudia kumnusisha siku 3 nyingi alafu leta mrejesho
 
Mbwa wako wana umri gani?mbwa unaweza hata kumlisha mara 2 na akawa sawa kabisa kikubwa ni kufwata kiasi maalumu cha kumlisha mbwa,unga wa mahindi sio mzuri kwa mbwa
Kama unga wa mahindi sio mzuri je ni chakula gan ndo kinamfaa??
 

Msaada wadau,nataka kujua jinsi ya kuzuia viroboto kwa Mbwa,kama kuna dawa nzuri kwa ajili ya kuogeshea mbwa na kufanyia famigation ili kuua viroboto.
 
Uzi mzuri sana huu nimesoma comments zote, Very useful thread nikianza ufugaji wa mbwa ntaleta mrejesho
 
Mpe Bange mbichi. Usizidishe kipimo atakuwa na kichaaaa
 
MIE NDIO NIMENUNUA MBWA WADOGO..... swali langu je _wakiwa bandani muda wote ni sahihi au niwe nawatoa kama kawaida
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…