Unafahamu nini kuhusu Masters of Medicinal Chemistry?

JAMBONIA LTD

JF-Expert Member
Jan 22, 2014
576
263
habari wakuu, naomba mwenye kujua chochote kuhusu applicaton na market ya hiyo program kwa hapa Tanzania utakapoisoma kutoka nje ya nchi! inakupa uwanja gani wa kujiajiri au kuajiriwa.
shukran
 
Mkuu unaweza fanya kazi kwenye research and development laboratories mkatutengenezea dawa mpya
 
Halafu mkuu unapokuwa unataka kusoma kitu hasa kwa level hiyo, usiangalie market demand kwa muda huo. Sababu ni kwamba, kwa kozi hiyo inaweza kuchukua mpaka miaka 2 mpaka kumaliza. Hata kama itakuwa na soko la ajira, lakini mpaka unamaliza unaweza kukuta market imekuwa saturated! Au sera za ajira zimebadilika. Unakumbuka some 4 yrs back jinsi walimu na madaktari walivyokuwa na soko la ajira? Unakumbuka wakati huo jinsi vyuo vingi vilivyofunguliwa na kufurika wanafunzi wa ualimu, ma nesi na ma daktari?

Sasa jaribu kufanya labour market analysis kwa sasa. Hawa ndio wanaoongoza kuwa unemployed.
Kwa hiyo kwa mtizamo wangu, soma kile kitu ambacho unakipenda kutoka rohoni. Pia wakati huo usisahau wimbo wa 20% sijui jina lake, ila humo ndani kuna mstari mmoja unasema 'unapocheza usiangalie sana goli'!
 
Mkuu unaweza fanya kazi kwenye research and development laboratories mkatutengenezea dawa mpya

Kama lengo ni kuajiriwa bora ukasome MSC chemistry
Maaana hizo R&D institute tunayo NIMR nayo haipo effective kiivo

Mm nafikiria kusoma msc medicinal chemistry ila upande wa traditional medicine (hii wanatoa hata muhas)

Ila najaribu kucheki kama itakua na manufaa kwangu hususani kwenye swala la kujiajir
 
habari wakuu, naomba mwenye kujua chochote kuhusu applicaton na market ya hiyo program kwa hapa Tanzania utakapoisoma kutoka nje ya nchi! inakupa uwanja gani wa kujiajiri au kuajiriwa.
shukran

Ingekua ni bonge la program ingekua tuna viwanda vinavyowekeza kwenye kudevelop dawa mpya
Ila viwanda vingi Tanzania huwa vinafanya kazi kama franchise au kutengeneza dawa zilizokwisha muda wake huko duniani so they don’t need to invest in R&D anymore
 
Well, in my educated opinion, small-molecule chemistry is going the way of the dodo. The future of drug research is in more targeted therapies - biologics. So I would veer more towards proteins and antibodies than pure organic chemistry. A lot of the early stage research in this area is now done with computer modeling software, not benchtop. So if you're looking for the future, look for programs with those attributes.
That's and done if your going to study abroad you will better off have a plan to get papers so you can work abroad. In Tanzania, there are very few pharmaceutical companies and they only do generic drugs so there is no R&D.
I'm based in North America right now and the average salary in that profession is $ 80,000. Gilead science, Pfizer, glaxo etc etc are hiring. Good luck.
 
Kama lengo ni kuajiriwa bora ukasome MSC chemistry
Maaana hizo R&D institute tunayo NIMR nayo haipo effective kiivo

Mm nafikiria kusoma msc medicinal chemistry ila upande wa traditional medicine (hii wanatoa hata muhas)

Ila najaribu kucheki kama itakua na manufaa kwangu hususani kwenye swala la kujiajir

Kwa MUHAS Traditional Medicine inasimama yenyewe kama yenyewe na inatolewa na ITM wakati Mpharm Medicinal Chemistry inatolewa na School of Pharmacy

Kama utaenda MUHAS labda uombe moja kwa moja Msc Traditional Medicine
 
Upo sahihi
 
Well, in my educated opinion, small-molecule chemistry is going the way of the dodo. The future of drug research is in more targeted therapies - biologics. So I would veer more towards proteins and antibodies than pure organic chemistry. A lot of the early stage research in this area is now done with computer modeling software, not benchtop. So if you're looking for the future, look for programs with those attributes.
That's and done if your going to study abroad you will better off have a plan to get papers so you can work abroad. In Tanzania, there are very few pharmaceutical companies and they only do generic drugs so there is no R&D.
I'm based in North America right now and the average salary in that profession is $ 80,000. Gilead science, Pfizer, glaxo etc etc are hiring. Good luck.
thanks
 
Kwa MUHAS Traditional Medicine inasimama yenyewe kama yenyewe na inatolewa na ITM wakati Mpharm Medicinal Chemistry inatolewa na School of Pharmacy

Kama utaenda MUHAS labda uombe moja kwa moja Msc Traditional Medicine
nzuri
 
Back
Top Bottom