Unafahamu black death au bubonic plague? Ni zaidi ya korona na iliua sana ulaya mwaka 1352 hadi 1355

Fatality rate ya Covid-19 (kiwango cha watu wanaokufa baada ya kuugua) ni ndogo sana ukilingqnisha na Bubonic Plague.

Bubonic Plague ikiua kati ya 30% na 60% ya watu wote iliyowapata.

Coronavirus Covid-19 inaua kati ya 1% na 2%. Ikizidi sana 3%.

Sent from my typewriter using Tapatalk
Asante mkuu kwa kuliweka sawa hili.
 
kwahiyo watu wanataka kuhalalisha corona kwasababu black plague nayo iliua watu wengi sio?🤔🤔🤔
 
Back
Top Bottom