Unaendelea kuteseka kwasababu kuna ukweli hutaki kuukubali

Mwanasayansi Kalivubha

Senior Member
Feb 4, 2024
104
271
UNATESEKA KWA SABABU KUNA UKWELI HUTAKI KUUKUBALI.

1. Kakuacha ila hutaki kukubali kuachwa
2. Hawana muda na wewe ila unalazimisha wawe nao
3. Njia siyo yenyewe ila unalazimisha iwe yenyewe.
4.Wameamua kwenda bila wewe ila unalazimisha uwe safari nao moja.

KUNA UKWELI NI MGUMU KUUPOKEA, UPOKEE ILI UPONE MAUMIVU😔

Itakupa wakati mgumu kuupokea ila ukifanya hivyo tu ndani ya muda fulani utapona na ukiendelea kuukataa basi utaendelea kuumia tu na mwisho wa siku muda utapoteza

Mwanasayansi Saul kalivubha

#fikia ndoto zako.
 
Narudia kusema tena, nikiungana na wanaume wenzangu wooote wenye fikra hizi.

'Mwanamke yeyote msaliti, mwenye dharau na kiburi, hasa hasa msaliti, KAMWE usije msamehe mwanamke huyo na kufunga nae ndoa ukiamini alikosea kwa bahati mbaya na akiwa ndoani atabadilika.'
 
UNATESEKA KWA SABABU KUNA UKWELI HUTAKI KUUKUBALI.

1. Kakuacha ila hutaki kukubali kuachwa
2. Hawana muda na wewe ila unalazimisha wawe nao
3. Njia siyo yenyewe ila unalazimisha iwe yenyewe.
4.Wameamua kwenda bila wewe ila unalazimisha uwe safari nao moja.

KUNA UKWELI NI MGUMU KUUPOKEA, UPOKEE ILI UPONE MAUMIVU

Itakupa wakati mgumu kuupokea ila ukifanya hivyo tu ndani ya muda fulani utapona na ukiendelea kuukataa basi utaendelea kuumia tu na mwisho wa siku muda utapoteza

Mwanasayansi Saul kalivubha

#fikia ndoto zako.
Umenena mkuu,
 
Back
Top Bottom