Unaendelea Kuangalia TBC1

Unaendelea Kuangalia TBC1

frema120

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2012
Posts
5,098
Reaction score
1,341
Bunge lipo live sasa, Tbc wanarusha lakini dakika 1 live, dakika 3 tangazo hilo....

Hivi kwani utaratibu huu unaendelea hivi, kwani star tv na mlimani tv wasiruhusiwe kurusha live

KWANI YANAYO ENDELEA SASA MBUGENI, HAKI HAKUNA NA NDIOOOOOOOOO NDIO USHINDA......
NA SASA NAONA KUNA BOMU LINALIPUKA M/KITI MBILIZI ANATOA TAARIFA.....

V
SENGEREMA
 
Ni kweli bora kodi yetu wagaiwe wenye uwezo na maandalizi na kazi yao ya Television kama IVT, STAR TV na nyingine
 
Tbccm at work. Hilo tena hata cjamaliza kupost

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
mi kwangu ht sauti hawatoi,yaan hawa jamaa wnaboa sana.
 
nini kinaendelea? sisi na umeme wamekata mkuu..
 
endelea kutujuza mkuu psee

Hakuna kitu zaidi ya tangazo ili kwa sana, but now waziri mkuu anaitimisha bunge....

Ngwilizi kamaliza taarifa yake na kutuhumu baadhi ya wabunge wa chadema kuwa ni vyanzo vywa fujo bungeni na mhusika mkubwa akiwa TL ila haijatoa adhabu....
 
Kwel hili taifa kwa sasa sidhani km ina chochote cha kujivunia katika miak 51 ya uhuru hta matangazo ya runinga bado ni shida!
 
TBC Wanatia uchungu..maana inaendeshwa kwa kodi za wananchi
 
Hawa tbc mbona wanang'ang'ania kuonyesha bunge?uwezo na ubunifu ni ziro kwani hawana ubavu wa kukaa dk 5 hewani bila kukatika.hivi hakuna tv nyingine inayo weza kutupa haki yetu ya kidemokrasia?wao bunge mara nyimbo za kizamani tushike lipi?kweli miaka hamsini na mbili ya uhuru!! Tbc acheni unafiki na ufethuri achieni tv zingine nyie hamna ubavu nyie nimazuzu kha!! Mmezid sasa jamani.
 
kipimo cha kufeli mambo mengi kwa nchi hii kipimo ni tbc,yaani matangazo toka bungeni yana katika katika na sasa wameweka ngoma za asili!
 
Tunaangalia ngoma za asili,hii ccm tv inaboa sana
 
Kama si bunge walahi nisingeangalia ccm tv
 
Back
Top Bottom