Duuuuh! huu uaskofu wa kijipachika siukubali kamwe. Misingi yote ya Kanisa ni Catholic tu, huwezi kujiitapadri bila kusomea, au askofu bila kuwekwa wakfu na Pontiff.
Wewe ndo ushirikishe akili jiulize huyu askofu anayemwabudu na kumtangaza YESU kwa mataifa tunaamini kuwa anategemea ulinzi wake 100 percent vinginevyo anahubir usanii tu, haamini anachokihubiri
sikiliza kuamini kwenu hivyo hakubadili ukweli! muwe mnasoma Bible ili mpate maarifa! nikupe mifano kadhaa kwa faida yako na wenzio!
-Unafahamu habari za mfalme Daudi? Mtumishi wa Mungu mfalme Daudi ktk kumpiga goliath huku akimtegemea Mungu alibaki tu kamtumbulia mimacho goliath halafu jiwe likashuka toka kwa Mungu na kumpiga goliath kwenye paji la uso? au Daudi aliliokota na akaliweka kwenye silaha yake na kumtwanga nalo goliath akafa? Kwann Daudi hakusubiri Mungu ashushe moto kama Eliya? Au mawe kama kile kipindi cha Joshua? Ofcz anaweza jibu ni kwamba kila jambo kwa majira yake.-Fatilia ktk agano la kale na jipya (kama una huo muda) uone jinsi Mungu alivyokuwa akiwaahidi waisrael kuwapigania na kuwashindia vitani lakini je ni Mungu mwenyewe physically alikuwa anashuka na kwenda kupigana huku waisrael wakiwa majumbani kwao au Waisrael kwa uwezo wa Bwana ndo walikuwa wanachukua silaha zao na kwenda kupigana physically wakitegemea msaada wa Bwana? Kwan Mungu alikuwa akishindwa kutuma malaika kwenda kushughulika, ili watumishi wake wakabaki hm?? Aliweza bt wakati mwingn Mungu hutupigania kwa kututumia sisi wenyewe na ushindi unakuwepo.
-katika agano jipya, mitume waliishije?? Soma uone walikuwa busy kukimbia huku na huku coz walikuwa wakiwindwa na serikali kutokana na makemeo yao! Ndo maana wote waliishia kuuawa kinyama. Kuna wakati mtume Paulo alishushwa kutoka ghorofani kwa kutumia kikapu ktk kuwakimbia askari, je Mungu alishindwa kuwalinda/kuwapigania?? NO! Mungu hashindwi kitu ila kuna wakati anaruhusu jambo flani kwa sababu flani!
-Vipi kuh wakati Yesu anazaliwa Herode akawa ametoa tangazo watoto wote wa kiume wa 2 yrs and below, kuuawa akiwa anamlenga Yesu je kwanini Mungu alimuagiza Yusuph amkimbize mtoto Misri akamfiche huko asiuawe je si alikuwa na uwezo wa kumlinda hata akiwa hapohapo Bethlehem? Ofcz anaweza coz hamna linaloshindikana kwake bt kwa majira yale alipanga iwe hivyo!
Sasa je kwa Gwajima ambaye ni binadamu ktk mazingira kama yale na unaumwa unaachaje kuchukua tahadhari??
ndio maana hata wewe, hata usali vipi...still utafunga milango kwa makufuri! je humtumaini Mungu..unatumaini makufuri kwa 100%. Hata nyumba za ibada hufungwa usiku kama hakuna shughuli yoyote!
Mtukanaji matusi na mwenye tuhuma za kutembea na wake za watu haaminiki kwenye kza ya uaskof au uchungaji. Labda kama hujui sifa za askof.
JINSI wanavyomchukia kama kweli alitembea na wake za watu unafikili angeachwa hivi hivi. Akili za kuambiwa changanya na zako. Kama ulipewa macho yatumie sio kukurupuka kama kipofuMtukanaji matusi na mwenye tuhuma za kutembea na wake za watu haaminiki kwenye kza ya uaskof au uchungaji. Labda kama hujui sifa za askof.
Hivi alimfufua Nani?,hapa dar kanisa lake lipo wapi?
Jambo kuu unalotakiwa kulijua ni kuwa wanadamu ni dynamic, huwezi kushikilia makemeo ya Gwajima miaka yote, you have got to move forward. Na hata kama Gwajima amekosea hilo halimfanyi Mungu akaacha kumtumia, He will still use him kwa sababu Mungu akianza kazi na mtu hawezi kumwacha kwa kuteleza kidogo.
Jifunze kuhusu our biggest legend Musa, kila mtu anafahamu kuwa Musa aliwakomboa waisraeli toka utumwani na alitumiwa na Mungu kutenda maajabu makubwa sana ever recorded in the history of mankind, but do you know his history? Musa kabla ya kutumiwa na Mungu, aliua mmisri, alicommit murder (hakutukana kama Gwajima), Moses committed murder, narudia tena perhaps you will understand, for now, he murdered an Egyptian.
Alipoona amegundulika akakimbia kabisa Misri akaenda nchi nyingine, maana alijua nikipatikana nauawa. For forty years alikuwa uhamishoni ndipo Mungu alipomtokea na akamtuma kwenda kuwatoa wana wa Israeli utumwani. So makosa ya wanadamu yanasameheka mbele za Mungu and we need to move on. Usifikiri kwa wewe kumpigia kelele Gwajima kutamzuia Mungu asimtumie kulifanya lile alilomtuma hapa duniani, unatwanga maji kwenye kinu.
If i were you, i would pick up my little hoe and go to shamba and continue with farming, rather than yak-yaking on Gwajima, its an unnecessary obsession, to be honest w
Mimi Gwajima aliyoyaongea kwanza kuhusu yale magaidi ya Tanga na kisha Pengo sioni kosa lolote. Yuko sahihi kabisa Big up.
Kinachonipa wakati mgumu ni kutafakari ukuu wa Mungu anayehubiriwa na Gwajima na ukuu wa Bastola anayoibeba kiunoni Askofu wangu huyu nani zaidi. Maana maandiko matakatifu ya Biblia yanasema, 'Mungu asipoulinda mji yeye akeshae afanya kazi ya bure' sasa kubeba bastola sio kukesha bure?
maana ya askofu ni mwangalizi wa kanisa na Gwajima ni mwangalizi wa makanisa ya ufufuo na uzima dar arusha tanga na maeneo mengine. Uaskofu pia ni kazi si huduma kipawa wala karama 1timotheo.3:1-7,
Hahaha hapa sasa napata mfano mzuri wa vita vya MAJIMAJI..
Duuuuh! huu uaskofu wa kijipachika siukubali kamwe. Misingi yote ya Kanisa ni Catholic tu, huwezi kujiitapadri bila kusomea, au askofu bila kuwekwa wakfu na Pontiff.