Unaemsema vibaya askofu Gwajima kwa makemeo yake

malkiamrembo

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2015
Posts
386
Reaction score
231
Jambo kuu unalotakiwa kulijua ni kuwa wanadamu ni dynamic, huwezi kushikilia makemeo ya Gwajima miaka yote, you have got to move forward. Na hata kama Gwajima amekosea hilo halimfanyi Mungu akaacha kumtumia, He will still use him kwa sababu Mungu akianza kazi na mtu hawezi kumwacha kwa kuteleza kidogo.

Jifunze kuhusu our biggest legend Musa, kila mtu anafahamu kuwa Musa aliwakomboa waisraeli toka utumwani na alitumiwa na Mungu kutenda maajabu makubwa sana ever recorded in the history of mankind, but do you know his history? Musa kabla ya kutumiwa na Mungu, aliua mmisri, alicommit murder (hakutukana kama Gwajima), Moses committed murder, narudia tena perhaps you will understand, for now, he murdered an Egyptian.

Alipoona amegundulika akakimbia kabisa Misri akaenda nchi nyingine, maana alijua nikipatikana nauawa. For forty years alikuwa uhamishoni ndipo Mungu alipomtokea na akamtuma kwenda kuwatoa wana wa Israeli utumwani. So makosa ya wanadamu yanasameheka mbele za Mungu and we need to move on. Usifikiri kwa wewe kumpigia kelele Gwajima kutamzuia Mungu asimtumie kulifanya lile alilomtuma hapa duniani, unatwanga maji kwenye kinu.

If i were you, i would pick up my little hoe and go to shamba and continue with farming, rather than yak-yaking on Gwajima, its an unnecessary obsession, to be honest w
 
Huyo askofu mikimiki haiwezi.kuhojiwa kidogo na polisi mpaka presha na kulazwa i.c.u mambo hayo awachie wakina ponda na akina Mselem wa Uamsho.
 
Duuuuh! huu uaskofu wa kijipachika siukubali kamwe. Misingi yote ya Kanisa ni Catholic tu, huwezi kujiitapadri bila kusomea, au askofu bila kuwekwa wakfu na Pontiff.
 
Shetani nae anataka apewe ukuu kama Mungu itakuwaje hawa viumbe kwa viumbe wenzao,kwani hamjuhi utawala wa dunia hii kaachiwa ibirisi? Gwajima ndo nani? mvunja ndoa na viapo vya watu? kwasababu kwa hapa duniani mkubwa wao kapewa mamlaka sioni kwanini naye asidai sehemu ya mamlaka yao waliyopewa
 
SOME PEOPLE ARE PURE DEMONS
How do you know that this person is a demon?
1. They always discourage you from doing good.
E.g. when you want to assist the poor and the
needy.
2. They always want to find faults in you ignoring
all the great achievements and efforts that you
render.
3. They smile and laugh with you when you're
together but behind your back they broadcast you
as a bad and evil person turnishing your image.
4. You only see them in good times and in bad
times they vanish into thin air.
5. They persuasively influence you to be trapped
in evil so that the world should laugh at you.
6. They always rejoice in your failure pretending
to be pitying you.
7. They always talk good to you so you can give
them what they want from you and they do it till
you are completely dry then they damp you like
trash in a trash bin.
8. They go from place to place mobilising people
against you and organising them toward
themselves in destroying people' trust for you so
that they can trust them.
9. They are always power hungry.
10. They will never appreciate you no matter how
good you can be.
These demons accomplish the mission of their
father the devil.
John 10:10; For a thief cometh not, but for to
steal and to kill, and to destroy. That's their
greatest mission. Beware of them for sometimes
they look like sheep while they're wolves. For the
bible says in
Corinthians 11:14; And no marvel for Satan
himself is transformed into an angel of light.
World saying: it's not all that glitters that is gold.
Beware!!!
 
Jambo kuu unalotakiwa kulijua ni kuwa wanadamu ni dynamic, huwezi kushikilia makemeo ya Gwajima miaka yote, you have got to move forward. Na hata kama Gwajima amekosea hilo halimfanyi Mungu akaacha kumtumia, He will still use him kwa sababu Mungu akianza kazi na mtu hawezi kumwacha kwa kuteleza kidogo.

Jifunze kuhusu our biggest legend Musa, kila mtu anafahamu kuwa Musa aliwakomboa waisraeli toka utumwani na alitumiwa na Mungu kutenda maajabu makubwa sana ever recorded in the history of mankind, but do you know his history? Musa kabla ya kutumiwa na Mungu, aliua mmisri, alicommit murder (hakutukana kama Gwajima), Moses committed murder, narudia tena perhaps you will understand, for now, he murdered an Egyptian.

Alipoona amegundulika akakimbia kabisa Misri akaenda nchi nyingine, maana alijua nikipatikana nauawa. For forty years alikuwa uhamishoni ndipo Mungu alipomtokea na akamtuma kwenda kuwatoa wana wa Israeli utumwani. So makosa ya wanadamu yanasameheka mbele za Mungu and we need to move on. Usifikiri kwa wewe kumpigia kelele Gwajima kutamzuia Mungu asimtumie kulifanya lile alilomtuma hapa duniani, unatwanga maji kwenye kinu.

If i were you, i would pick up my little hoe and go to shamba and continue with farming, rather than yak-yaking on Gwajima, its an unnecessary obsession, to be honest w

Afadhali mussa kumbuka Samson, daudi etc
 
Gwajima anatumiwa na Mungu??!
 
Kwa hiyo bastola anayotembea nayo anataka.kumuua nani? Au kazi yake ni.kufukuza mbu? Usanii tu
 
Duuuuh! huu uaskofu wa kijipachika siukubali kamwe. Misingi yote ya Kanisa ni Catholic tu, huwezi kujiitapadri bila kusomea, au askofu bila kuwekwa wakfu na Pontiff.

Tatizo wacatholic mnajiona ni kioo cha jamii, tatizo hamyajui maandiko, nani alikuambia kuwa pastor lazima uende shule, mnasikia tu lakini hamdhibitishi, hapo ukweli haupo. Tena uaskofu ndo kabisaa ni kazi ambayo mkristo yoyote anaweza kuitaka akapata, ni swala la maadili tu. Lakini hata ukitaka upastor, apostles, evangelists, prophets, teachers, hizo uwezi kujitwika lakini yesu anakua ashampa mtu
 
wenye bastola wote wanataka kumuua nani? na kwann serikali imetoa utaratibu wa individuals kumiliki silaha? na serikali inapotoa kibali kwa mtu kumiliki silaha ni ili akamuue nani? shirikisha ubongo kabla ya kuongea
Kwa hiyo bastola anayotembea nayo anataka.kumuua nani? Au kazi yake ni.kufukuza mbu? Usanii tu
 
wenye bastola wote wanataka kumuua nani? na kwann serikali imetoa utaratibu wa individuals kumiliki silaha? na serikali inapotoa kibali kwa mtu kumiliki silaha ni ili akamuue nani? shirikisha ubongo kabla ya kuongea

Wewe ndo ushirikishe akili jiulize huyu askofu anayemwabudu na kumtangaza YESU kwa mataifa tunaamini kuwa anategemea ulinzi wake 100 percent vinginevyo anahubir usanii tu, haamini anachokihubiri
 
Back
Top Bottom