Mara nyingi bulb(huchorwa juu ya kichwa) humaanisha "idea", hapo kuna ubongo ndani yake ulochomwa kisu..... ukichomwa kisu kuna uwezekano mkubwa wa kufa.
Hivyo anamaanisha..
Akili hazifanyi kazi(zimekufa)
Hence,
Wengine hawatumii akili coz kuna watu wamewamaliza.
Ubongo ni kama taa imulikayo yenye kuleta mwongozo wa kumulika kule uendako,utendalo,mawazo na tafakari..
Kwa mujibu wa hiyo picha inaonyesha kuharibiwa kwa ubongo na utakosa nguvu tena ya kutafakari,kuongoza n.k
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.