Ingia google na search Instagram+ hii ni mbadala wa instagram official , instagram+ ni kama ilivyo whatsapp+ imeongezewa vitu vingi zikiwepo options za kukuwesha kudownload picha na videos
Link hii hapa, http://www.mediafire.com/?c2wjb8fg5mqiyzd kabla ya ku-install ondoa instagram iliyopo kwenye simu yako kwa sasa, huna sababu ya kujaza apps nyingi kwenye simu yako