Unadhani Wanajadili Nini?

Unadhani Wanajadili Nini?

huyu mzee nikikumbuka utangazwaji wa matokeo ya uchaguzi huwa nacheka sana, "Dovutwa Fahami nassoro kura moja,John pombe Magufuli kura 666666,Edward Ngoyai Lowasa kura 555,hahaha! CCM kiboko.
 
Anna mgirwa kura 10%0.1 hashim rungwe sipunda kura 7 .0.25 ngoyai lowassa Edward kura 10,567 sawa na % 10.95 pombe jonh magufuri kura 56,678 sawa na % 56,67 kweli huyu mzee hii dhambi itamtafuna mpaka kaburini mwake kila kitu kilikuwa magumashi tena ya wazi
 
Doh, Wallah hawa CCM wanajua kuwatwika watu ubaya.
 
Huyu babu alipoulizwa kuhusiana na kufutwa matokeo ya Zanzibar VP hayaathir matokeo ya muungano babu alijbu ktuko keel hyo ndomana ananyonyoka kla kukcha
 
Anna mgirwa kura 10%0.1 hashim rungwe sipunda kura 7 .0.25 ngoyai lowassa Edward kura 10,567 sawa na % 10.95 pombe jonh magufuri kura 56,678 sawa na % 56,67 kweli huyu mzee hii dhambi itamtafuna mpaka kaburini mwake kila kitu kilikuwa magumashi tena ya wazi
Si kweli,ikitokea ajiunge na chama chama siasa cha upinzani hizo dhambi zitafutwa kama zilivyofutwa dhambi za wale wengine.
 
Wanasiasa ni wanafiki chochote chaweza kutokea ila tujadili uchaguzi 2015 babu alizingua sana au wewe unasemaje??
 
Anna mgirwa kura 10%0.1 hashim rungwe sipunda kura 7 .0.25 ngoyai lowassa Edward kura 10,567 sawa na % 10.95 pombe jonh magufuri kura 56,678 sawa na % 56,67 kweli huyu mzee hii dhambi itamtafuna mpaka kaburini mwake kila kitu kilikuwa magumashi tena ya wazi
Sasa wewe ulitaka asomeje,hahahahahahahahahahaja
 
Babu na miwani yake alikuwa anazingua kweli kweli mpaka kura za sipunda walizipiga sipunda anasema watu waliompa pole ni wengi kuliko kura alizopata
 
Back
Top Bottom