unadhani nini kinaendelea hapa?

unadhani nini kinaendelea hapa?

Hapo ni SOUND tu mkuu...tena binti kaamua kutoka pekupeku ili hata home wasimshtukie wakiona malapa yake hayapo mlangoni.
 
Hapa naona Babu anamshauri Binti kuwa sio vizuri kuvaa kanguo kafupi namna hiyo maana unanitia majaribuni hata babu yako jamaani mjukuu wangu..............hata haruma.................
 
Hakuna lolote hapo babu anaulizia njia ya kwenda kwa mjumbe wa nyumba kumi.
 
Back
Top Bottom