unadhani nini kinaendelea hapa?

anamkata sound huyo babu huyo. sioni sababu nyingine ya kumfanya amshike mikono hivyo
 
afu uo mkono babu cjui anaupeleka wapi
 
Hapa ndo naona kuwa kumbe huwa tunazeeka miili lakini hisia zinabaki palepale!
 
we c6 wewe? uliwapataje hawa?ulipiga chabo nini...........lol!!!!!!!!!!!
je, ni babu yake anampa baraka mjukuu anaetaka kurudi town

je, babu anapiga saundi....

au?


 
Babu kashauza mazao yake anachukua toto ya kukonga nyoyo,hapo harudi hata na shilingi na ataswaga mguu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…