Mmmmhhhh ngumu kutabiriBaada ya kutekwa kwa Balozi Polepole natoa tahadhari kwa watu wengine ambao wapo kwenye hatari ya kutekwa kwanza Askofu Josephat Gwajima, pili Joh Heche na tatu Mkurugenzi wa JF Melo yupo hatarini sana kwa namna alivyokuwa akizungumza inaweza kuwa hatari kwake.
Hawapaswi kabisa kuwa nchini makosa aliyoyafanya Polepole yasifanyike kwa wale niliowataja.
Asanteni.
Mimi na fikiri wanaoamuru kutekwa akina hppBaada ya kutekwa kwa Balozi Polepole natoa tahadhari kwa watu wengine ambao wapo kwenye hatari ya kutekwa kwanza Askofu Josephat Gwajima, pili Joh Heche na tatu Mkurugenzi wa JF Melo yupo hatarini sana kwa namna alivyokuwa akizungumza inaweza kuwa hatari kwake.
Hawapaswi kabisa kuwa nchini makosa aliyoyafanya Polepole yasifanyike kwa wale niliowataja.
Asanteni.
Gwajima au SamiaBaada ya kutekwa kwa Balozi Polepole natoa tahadhari kwa watu wengine ambao wapo kwenye hatari ya kutekwa kwanza Askofu Josephat Gwajima, pili Joh Heche na tatu Mkurugenzi wa JF Melo yupo hatarini sana kwa namna alivyokuwa akizungumza inaweza kuwa hatari kwake.
Hawapaswi kabisa kuwa nchini makosa aliyoyafanya Polepole yasifanyike kwa wale niliowataja.
Asanteni.
No one is safeAnaweza kufuata mzee Warioba, au jenerali Ulimwengu, au Gwajima, au WEWE,au MIMI! Au mtoto wako, au mjukuu wako, au hata tu mtoto wa chekechea asiyejua lolote!! The land has gone wild, kila mtu kwenye eneo lake achimbe shimo la futi 6×6×4! Linaweza kumfaa siku moja, for there will be no one to dig for you those days, the days that are so near, kama polepole leo anasali sala aliyoisali mdude, na ben saa8, na mzee Mohammed kibao, basi sala hiyo ni ya taifa kwa sasa, you are not safe! No matter what!
Heche au pastorBaada ya kutekwa kwa Balozi Polepole natoa tahadhari kwa watu wengine ambao wapo kwenye hatari ya kutekwa kwanza Askofu Josephat Gwajima, pili Joh Heche na tatu Mkurugenzi wa JF Melo yupo hatarini sana kwa namna alivyokuwa akizungumza inaweza kuwa hatari kwake.
Hawapaswi kabisa kuwa nchini makosa aliyoyafanya Polepole yasifanyike kwa wale niliowataja.
Asanteni.
MtandaoHaya ndugu yetu polepole habari yake kwisha teyari anayefuata kunyonywa damu atakuwa nani..?
Gwaji boy yeye alijitimkia zake mapema the same day alivyo toa press akakimbia zake Germany na familia zima.
Ngoja tuone itavyokuwa..!
sasa tufanyaje kukomesha ushetani huu?Anaweza kufuata mzee Warioba, au jenerali Ulimwengu, au Gwajima, au WEWE,au MIMI! Au mtoto wako, au mjukuu wako, au hata tu mtoto wa chekechea asiyejua lolote!! The land has gone wild, kila mtu kwenye eneo lake achimbe shimo la futi 6×6×4! Linaweza kumfaa siku moja, for there will be no one to dig for you those days, the days that are so near, kama polepole leo anasali sala aliyoisali mdude, na ben saa8, na mzee Mohammed kibao, basi sala hiyo ni ya taifa kwa sasa, you are not safe! No matter what!