Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,011
- 9,879
Mmoja kati ya walimu wanaoonesha uwezo tofauti wa kucheza na watoto nchini ni mwalimu Yusuph Mohamed Yusuph ambaye ni mwalimu wa shule ya msingi Ikorongo Wilaya ya Serengeti Mkoani Mara
Katika video nyingi ameonekana akiwa anacheza na watoto ambao ni wanafunzi wake na nyingine akionesha kujali hasa watoto wakiumia wanapokuwa wanacheza
Mwalimu Yusuph aliajiriwa mwaka 2018 na anafanyakazi katika mazingira ambayo hayana tofauti na mazingira ya shule nyingi nchini.
Tazama video uone kama kuna mwanafunzi anaweza kuwa mtoro
kama walimu watakuwa wengi wa aina hii