Unadhani jibu litakuwaje?

Unadhani jibu litakuwaje?

Mia saba

JF-Expert Member
Joined
Mar 4, 2022
Posts
255
Reaction score
390
Kuna Hali imenifikirisha kidogo kuhusu Dunia.

Huwa tunaona Mara nyingi mvua zikinyesha au vimbuka vikali mchanga husombwa kutoka milimani kuja tambarare hii hutotokeza enzi na enzi.

Swali: Kwa nini muendelezo wa matokeo hayo hayafanyi milima kuisha kea sababu ya Hali hiyo.

Naomba jibu
 
2B8DFA85-6E57-4EA5-AF4C-DA508F63F249.jpeg
 
Back
Top Bottom