Unadhani itakuwa pepa ya somo gani?

Unadhani itakuwa pepa ya somo gani?

fungi

JF-Expert Member
Joined
Mar 18, 2014
Posts
2,539
Reaction score
4,676
Unadhani pepa ya somo gani mpaka walale hiv
 

Attachments

  • 1437903111241.jpg
    1437903111241.jpg
    30.2 KB · Views: 938
Hawajalala.

Hao wanajizuia kupigwa picha huku wakiwa bado wanaendelea na pepa
 
Hapo baada ya pepa kutolewa waliamrishwa wote walale ili wasiweze kuchungulia nakujua mtihani ukoje kabla ya muda rasmi wa kuanza mtihani... hebu jaribu kuangalia kuna mmoja kama anaangalia pepa ili ajue mwaswali yakoje..
 
hyo ni civics au general study kwa wa2 wa advanc coz huwa wanawah kumalza afu ful kulala
 
Back
Top Bottom