Unadhani ingekuwaje?

Ngongoseke

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2012
Posts
3,202
Reaction score
1,464
Hivi JF ingekuwa kama bunge unadhani ingekuwaje?tungekuwa member wote tunakutana kwenye ukumbi hivi wewe ungeingia na silaha gani?maana hapa hatuonani lakini timbwili halisemeki,mimi ningeingia na gobore
 
Mimi ningeingia na Bikini kwani ni silaha tosha kwa wanaume.

Hahhaa madame ungekaa jukwaa la MMU kama ndio hivyo'kazi ingekuwa majukwaa ya dini na siasa maana watu wengine wangekuja AK47
 
Hahhaa madame ungekaa jukwaa la MMU kama ndio hivyo'kazi ingekuwa majukwaa ya dini na siasa maana watu wengine wangekuja AK47

Tena huko watu wangevaa kbs na BulletProof.
Maana hizo risasi zake!
Balaa!
 
Ritz na zomba wangevaa bullet za ukweli maana pro cdm wangewamaliza

Yaani acha tu.
Hebu tuombe Uongozi wa Jf watuchapishie t-shirt zenye ID zetu mgongoni afu siku wanaitisha mkutano wa wana Jf wote wa Dsm pale jangwani then tunavaa hzo t-shirt.
Hebu pata picha,kitatokea nini?
 
kuna jamaa mmoja alinitukana tusi zoto kweli la kama kilo 200 Ingawaje nilimripot akapigwa ban huwa naomba nimjue.ndio inatokea siku hiyo tunaonana mtashanga hata salamu hamna ni kumrukia sijui nani ataamua aisee ninahamu naye
 
Sipati picha jukwaa la siasa nadhani vifo vingi vingeripotiwa kutoka kule!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…