Unadhani Ben anamwambia nini JK ?

Unadhani Ben anamwambia nini JK ?

Kusikiliza anasikiliza kazi ni kutekeleza anachokisikiliza. Je kama ni story tu?
 
We mbona mwoga mwoga sana yaani muhongo unamfikiriiia kama mmeoa nyumba moja.
 
mbona yule demu hujapiga sasa!
 
Mie sisemi,nisije nikapigwa miaka miwili kama mwenzangu nchi ya jirani
 
Muda wako unaisha sasa, waachie wakina Papiii
 
"bwana mdogo usiahidi vitu ambavyo huwezi kutekeleza"
 
Huyu mzee anaongea nini amesahau kwamba yeye ndo chanzo cha matatizo yote? Okay ngoja nimsikilize tu
 
Dogo wacha kucheka cheka hovyo, mgao wangu bado sijaupata
 
we dogo ---- sana,umeiikisha nchi pabaya
 
Usipoangalia unakabidhi nchi Upinzani.............
 
Jamaa kibonge aliuza nchi kwa bei chee!
 
Back
Top Bottom