ikisimama panda
JF-Expert Member
- Apr 3, 2015
- 2,728
- 2,418
duuuh hiki kidingi hakipai usiku kweli??
duuuh hiki kidingi hakipai usiku kweli??
Unafikiri ukipaa wewe usiku ndio wanapaa wote.
hapo anapiga mahesabu ya kura atakazopata kila mkoa. "mwanza pale nina kura milion moja laki tatu na sitini na tisa elfu na mia sita thelathini na tatu na senti kumi na mbili nukta nane moja." Arusha... dah huko sijui! ila wasiponipa nitaondoa kandarasi zote nitazihamishia chato.