NAPITA
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 5,077
- 2,248
- Thread starter
- #21
ndiyo we unafikiria kama wangekuwa hawaitukuzi mbona biashara isingekuwepo loh..
Asalaleeeee!!!!!!kwa mtindo huo haitaisha hii biashara zaidi sana itakuwa inazidi kushamilii ambao hatutakuwa na Pesa itabidi to applay stail ya uyu jamaa ya kuchumpa na kuchungulia japo kidogo ha!ha