Unachungulia nini uko?

Unachungulia nini uko?

NAPITA

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2012
Posts
5,077
Reaction score
2,248
alinza hv.jpg alinza hv.jpg alinza hv.jpg
 
Attachments

  • alinza hv.jpg
    alinza hv.jpg
    41.3 KB · Views: 339
  • alinza hv.jpg
    alinza hv.jpg
    41.1 KB · Views: 326
  • alinza hv.jpg
    alinza hv.jpg
    55.5 KB · Views: 352
Mmhhh!!!! kwa hiyo alisubili aiangalie ukumbini ha!ha! nae hatari sana!!
 
Baadhi ya hii mijitu kweli hamnazo aiseee aaah shida tupu ona sasa sherehe imegeuka shubiri kwake
 
View attachment 159329

Kama wale mashabiki wa mpira wa miguu wanaopenda kuingia uwanjani kama yule staa wetu wa KAKA tofauti yao huyu upande wa ledi kapeti na sio mpirani
 
natafuta tamu ya bwan harusi loh... hata niitie machoni tu inatosha siigusi
 
natafuta tamu ya bwan harusi loh... hata niitie machoni tu inatosha siigusi

Inawezekana jamaa kabla ya Bw harusi yeye ndo alikuwa akiimiliki hiyo tamu sasa anataka walau kidogo aione mara ya mwisho lakini akakuta Vigezo na masharti vimezigatiwa.
 
Inawezekana jamaa kabla ya Bw harusi yeye ndo alikuwa akiimiliki hiyo tamu sasa anataka walau kidogo aione mara ya mwisho lakini akakuta Vigezo na masharti vimezigatiwa.

hapo sasa au amefukuzia sana alafu kitu kinachomoa loh...
 
hapo sasa au amefukuzia sana alafu kitu kinachomoa loh...

Ha!ha!ha! sasa anafikili kama kimemchomolea kabla hapa ndo kitaachia uzi we subutu yake ila jamaa kajitahidi sijui kibongo bongo ingekuaje msala ungekuwa kwa Bi arusi tu lazima kwamba ajatulia ha!ha!
 
Yote yawezekana, alikua anaangalia, alikua ananusa, alikua anagusa kwa ulimi
 
Ha!ha!ha! sasa anafikili kama kimemchomolea kabla hapa ndo kitaachia uzi we subutu yake ila jamaa kajitahidi sijui kibongo bongo ingekuaje msala ungekuwa kwa Bi arusi tu lazima kwamba ajatulia ha!ha!
wabongo si wanatuukuza papuchi ndo tatizo lao
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom