Unachopaswa kufanya kabla na baada ya kufanya dhambi

Orrionorri

Member
Oct 17, 2014
21
5
Mungu wetu ni mwema na fadhili zake ni za milele. Yeye ni mwingi wa huruma na hapendi kabisa watu wake waangamie, ila tunaangamia kwa kukosa maarifa.

Kabla ya kutenda dhambi tafakari juu ya dhambi unayotaka kuifanya, je ina athari gani kwako na kwa jamii? Ukishindwa kujizuia, ujue umenasa kwenye mtego wa ibilisi, 'roho inatamani lakini mwili ni dhaifu'.

Baada ya kutenda dhambi, epuka visingizio/lawama kwa wengine. Kuwa mnyenyekevu na utubu kwa uliyemkosea, na kwa Mungu Mwenyezi naye atakusamehe!

Maana angeyahesabu makosa yetu yote, je ni nani angesimama?
 

Attachments

  • orrionorri.jpg
    orrionorri.jpg
    18.4 KB · Views: 567
You are very right,kwani kuna dhambi nyingine unaweza tenda sio tu zitakuathiri wewe bali generations nne zitakazo fuata baada yako.
 
Back
Top Bottom