Unable to activate windows

fite fite

Senior Member
Feb 27, 2017
110
225
Habari Wana jamvi,

Pengine Kuna mahali nakosea naomba kuelekezwa vizuri nafanya activation ya windows 10 pro. Lakini inaniambia .... Unable to activate windows.

Nikiweka key napata huu ujumbe hapa chini kwenye picha.

Pia nimetumia njia ya Cmd nako nimeambiwa .. unrecognized option
IMG_20200630_085840_252.jpeg
 

ashomile

JF-Expert Member
Mar 1, 2017
1,989
2,000
Nimemwambia atume tu bando la buku mbili baada ya kazi kuisha nami nasubiri kuona kama kweli atafanya hivyo.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom