Unabii wangu umetimia juu ya Mwamposa

Unabii wangu umetimia juu ya Mwamposa

Mambo mengne tusiwalaumu tu hawa mods pumba kama hizi zinamaana gani hapa jf?
Huyu naye anajiita nabii eti unabii wake umetimia pumba kabisa hii kuendelea kubaki hapa ni kujaza server tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Ingekufaa unyimwe mikono ya kuandika ila upewe japo akili kidogo tu.

Wapi nimejiita nabii?
Je mtu akisema Man United itashinda dhidi ya Simba SC huyo ni nabii?

Ungepewa takow moja na akili kidogo ingekufaa zaidi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi leo Mwamposa ameendesha ibada kule Tanganyika Packers? Kama ameendesha ibada bila kuwa amefungiwa nitashangaa mno.
 
Back
Top Bottom