Unabii wangu kwa Dkt. Slaa umetimia

Unabii wangu kwa Dkt. Slaa umetimia

Sisi CHADEMA hatumtaki Dr Slaa... tuna majembe ya maana ndani ya Chama. Kuna makamanda Joyce Mukya, Mdude Nyagali, Meya mstaafu Boni, John Pumbulu, Askofu Mwamakula na Askofu Bagonza. Na mwaka 2025 tutamsimamisha mwanamke wa shoka Joyce Mukya kwenye urais dhidi ya Mh Samia Suluhu wa CCM.
Majembe yenu ni akina mdee na covid wenzie. Basi.
 
CHADEMA ni chama cha kikristo na Slaa naye ni mgalatia kwani kuna cha ajabu. Acha wafu waungane parokiani kwao.
Kipi ni chama cha Kiislam?
Kipi ni chama cha Kihindu?
Kipi ni chama cha Kibudha?
Kipi ni chama cha Kibahai?
Kipi ni chama cha Kipagani?

Dini zote hizo zimesajiliwa JMT na zinafanya kazi.

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
 
Gazeti moja la kila siku linalochapishwa katika lugha ya Kiswahili, leo ukurasa wa mbele limeripoti CHADEMA kumuhitaji Dkt. Wilbroad Slaa tena kwa msisitizo eti "kwa wakati huu kuliko uliopita" kikitaja sababu kuwa ni uwezo wake wa kuelewa mambo na kutetea misimamo yake.

Naendelea kuamini kuwa kwenye siasa chanya inawezakuwa hasi na hasi inawezakuwa chanya. Huenda siku moja CHADEMA kikawahitaji Lowassa na Sumaye.

Julai 2, 2023, niliandika makala humu yenye kichwa "Dkt. Wilbroad Slaa ni dhahabu iliyokosa mteja?" Leo yanatimia.

Ushauri wangu kwa Dkt. Slaa kama ataridhia mwaliko huu, ni kuwa aende kukisaidia CHADEMA kutengeneza agenda ya kueleweka ya miaka hata 20 mbele ili kukiokoa na saratani ya "zero-agenda" ambayo inakifanya kuviziavizia matukio ya kitaifa na kuyadaka na kuyalazimisha kuwa agenda yake.

Matukio hayo yanapozimwa na matukio mapya ya kutengenezwa CHADEMA kinajikuta kinapoteza mwelekeo kwa sababu hakijatengeneza hayo matukio na matukio hayawezi kuwa agenda.

Hamu ya CHADEMA kumuhitaji Dkt. Slaa KWA DHARURA inathibitisha uelewa wangu wa siku zote kuwa urais siyo rangi ya nywele wala rika wala makunyanzi urais ni ubongo wa mtu, ndiyo maana Wamarekani walimchagua Obama kijana na leo wakamchagua Biden babu kabisaaa...

Kenya tu hapo, babu Mwai Kibaki ameacha legacy ambayo Uhuru Kenyatta kijana hajaacha. Kumbe urais ni ubongo wa mtu siyo mwonekano wa mtu. Mwl. Nyerere aliendelea kuisahihisha dunia na JMT hata katika umri mkubwa baada ya kung'atuka. Ni vivyo hivyo kwa rais Nelson Mandela wa Afrika Kusini.

Hadi hapa tulipo leo CHADEMA hakina agenda na CHADEMA hakina Presidential material. Kina kazi ngumu ya kusaka hivyo viwili ndani ya muda mfupi uliobaki wa kujiandaa. Asomaye na afahamu!

- Dkt. Slaa ni dhahabu iliyokosa mteja?

CDM haina ajenda kwa mtazamo wa kiccm. Ila ikifika wakati wa uchaguzi, mbeleko ya vyombo vya dola na tume isiyo huru ya uchaguzi ndio huwa kinga yao kubwa.
 
Inazo tele. Tena wewe inaonekana umesoma shule za kata na unashabikia chadema wakati shule uliyosoma ni zao la ilani na sera thabiti za CCM.
Chama kiko madarakani zaidi ya miaka 60 tena kwa shuruti , lakini bado kinapambana kujenga matundu ya vyoo, hapo kuna sera?
 
Sisi CHADEMA hatumtaki Dr Slaa... tuna majembe ya maana ndani ya Chama. Kuna makamanda Joyce Mukya, Mdude Nyagali, Meya mstaafu Boni, John Pumbulu, Askofu Mwamakula na Askofu Bagonza. Na mwaka 2025 tutamsimamisha mwanamke wa shoka Joyce Mukya kwenye urais dhidi ya Mh Samia Suluhu wa CCM.
Haichekeshi.
 
CHADEMA ni chama cha kikristo na Slaa naye ni mgalatia kwani kuna cha ajabu. Acha wafu waungane parokiani kwao.
Hii propaganda mfu huwa ina bamba huko CCM hasa kwa wazee, au vijana mazombie.
 
Gazeti moja la kila siku linalochapishwa katika lugha ya Kiswahili, leo ukurasa wa mbele limeripoti CHADEMA kumuhitaji Dkt. Wilbroad Slaa tena kwa msisitizo eti "kwa wakati huu kuliko uliopita" kikitaja sababu kuwa ni uwezo wake wa kuelewa mambo na kutetea misimamo yake.

Naendelea kuamini kuwa kwenye siasa chanya inawezakuwa hasi na hasi inawezakuwa chanya. Huenda siku moja CHADEMA kikawahitaji Lowassa na Sumaye.

Julai 2, 2023, niliandika makala humu yenye kichwa "Dkt. Wilbroad Slaa ni dhahabu iliyokosa mteja?" Leo yanatimia.

Ushauri wangu kwa Dkt. Slaa kama ataridhia mwaliko huu, ni kuwa aende kukisaidia CHADEMA kutengeneza agenda ya kueleweka ya miaka hata 20 mbele ili kukiokoa na saratani ya "zero-agenda" ambayo inakifanya kuviziavizia matukio ya kitaifa na kuyadaka na kuyalazimisha kuwa agenda yake.

Matukio hayo yanapozimwa na matukio mapya ya kutengenezwa CHADEMA kinajikuta kinapoteza mwelekeo kwa sababu hakijatengeneza hayo matukio na matukio hayawezi kuwa agenda.

Hamu ya CHADEMA kumuhitaji Dkt. Slaa KWA DHARURA inathibitisha uelewa wangu wa siku zote kuwa urais siyo rangi ya nywele wala rika wala makunyanzi urais ni ubongo wa mtu, ndiyo maana Wamarekani walimchagua Obama kijana na leo wakamchagua Biden babu kabisaaa...

Kenya tu hapo, babu Mwai Kibaki ameacha legacy ambayo Uhuru Kenyatta kijana hajaacha. Kumbe urais ni ubongo wa mtu siyo mwonekano wa mtu. Mwl. Nyerere aliendelea kuisahihisha dunia na JMT hata katika umri mkubwa baada ya kung'atuka. Ni vivyo hivyo kwa rais Nelson Mandela wa Afrika Kusini.

Hadi hapa tulipo leo CHADEMA hakina agenda na CHADEMA hakina Presidential material. Kina kazi ngumu ya kusaka hivyo viwili ndani ya muda mfupi uliobaki wa kujiandaa. Asomaye na afahamu!

- Dkt. Slaa ni dhahabu iliyokosa mteja?

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
Sa mbona hujaweka hiyo hbr ya gazet uambatanishe hapa itasaidia san tujiridhishe hao CDM na Dr cassava
 
ILA GAZETI LILILOANDIKWA HIYO HABARI SIO GAZETI LA KILA SIKU, NI GAZETI LINALOTOKA MARA MOJA KWA WIKI NAYO NI ALHAMISI NA NI GAZETI LA MWANA HALISI.
 
Gazeti moja la kila siku linalochapishwa katika lugha ya Kiswahili, leo ukurasa wa mbele limeripoti CHADEMA kumuhitaji Dkt. Wilbroad Slaa tena kwa msisitizo eti "kwa wakati huu kuliko uliopita" kikitaja sababu kuwa ni uwezo wake wa kuelewa mambo na kutetea misimamo yake.

Naendelea kuamini kuwa kwenye siasa chanya inawezakuwa hasi na hasi inawezakuwa chanya. Huenda siku moja CHADEMA kikawahitaji Lowassa na Sumaye.

Julai 2, 2023, niliandika makala humu yenye kichwa "Dkt. Wilbroad Slaa ni dhahabu iliyokosa mteja?" Leo yanatimia.

Ushauri wangu kwa Dkt. Slaa kama ataridhia mwaliko huu, ni kuwa aende kukisaidia CHADEMA kutengeneza agenda ya kueleweka ya miaka hata 20 mbele ili kukiokoa na saratani ya "zero-agenda" ambayo inakifanya kuviziavizia matukio ya kitaifa na kuyadaka na kuyalazimisha kuwa agenda yake.

Matukio hayo yanapozimwa na matukio mapya ya kutengenezwa CHADEMA kinajikuta kinapoteza mwelekeo kwa sababu hakijatengeneza hayo matukio na matukio hayawezi kuwa agenda.

Hamu ya CHADEMA kumuhitaji Dkt. Slaa KWA DHARURA inathibitisha uelewa wangu wa siku zote kuwa urais siyo rangi ya nywele wala rika wala makunyanzi urais ni ubongo wa mtu, ndiyo maana Wamarekani walimchagua Obama kijana na leo wakamchagua Biden babu kabisaaa...

Kenya tu hapo, babu Mwai Kibaki ameacha legacy ambayo Uhuru Kenyatta kijana hajaacha. Kumbe urais ni ubongo wa mtu siyo mwonekano wa mtu. Mwl. Nyerere aliendelea kuisahihisha dunia na JMT hata katika umri mkubwa baada ya kung'atuka. Ni vivyo hivyo kwa rais Nelson Mandela wa Afrika Kusini.

Hadi hapa tulipo leo CHADEMA hakina agenda na CHADEMA hakina Presidential material. Kina kazi ngumu ya kusaka hivyo viwili ndani ya muda mfupi uliobaki wa kujiandaa. Asomaye na afahamu!

- Dkt. Slaa ni dhahabu iliyokosa mteja?

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app

Kwa hiyo Chadema kuweza kwa vitendo:

  • Kudumu kwa mda na uongozi zabiti.
  • Kukubalika na wananchi mda wote
  • Kukua ki utendaji na resources.
  • Kuwa tishio kwa chama tawala.
  • Kuwa nguzo muhimu ya siasa zetu

Wewe uliyeshindwa hata kusema jina lako ina public unasema wana "zero agenda"

Jinga Kabisa....

Kama hawa ni zero agenda, What are we lefting with? Chauma? Maana ukiacha Chadema na Chauma, hakuna chama kingine zaidi ya madalali.

Rubbish.....Trash.
 
What are we lefting with?

Jibaba lizima unaandika Kiingereza kibovu ambacho hata Mzanzibari haandiki!!!???

Si ungemwambia hata mtoto wa jirani yako anayesoma top class akuambie Kiingereza cha kuandika!!!???

What are we lefting with??? Nyie ndiyo mnafanya CHADEMA kuwa mteja, hamfai, muondolewe kundini. Ukipelekwa mdahalo kwa Kiingereza na magamba ya Lumumba si utavua ile ya ndani mwenyewe?

Una akili za mbuzi anayetumia mkia wake kufunika pasipohusika anaacha panapohusika. Wasimbe hamuishagi tu duniani?

Dhoge-ombiru-ni.

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
 
Inazo tele. Tena wewe inaonekana umesoma shule za kata na unashabikia chadema wakati shule uliyosoma ni zao la ilani na sera thabiti za CCM.
Ona upuuzi huu, wewe unadhani kila aliyeko humu JF ni umri wako wa shule za kata?
Kuna watu wamesoma shule za mkoloni humu!
Na shule haijengwi kwa hisani ya ilani ya chama bali kodi za mwananchi au msaada wa wahisani
 
Kodi zako ukizitoa kisha zikaliwa utapatq shule? Kuwa na shukran mkuu. Wewe ndo katika wale watu wasioona umuhimu wa kumaliza kula na kumshukuru aliyepika wakidai ni wajibu wake. Jitambue na kuwa Muungwana kijana.
 
Kuna kosa kwenye hilo? Au kanisa ni taasisi ya kihalifu hapa nchini?
CHADEMA ni chama cha siasa kinapaswa kujitenga na mbinu chafu ya kutumiwa na maaskofu wanaohofia kuboreshwa kwa bandari kwa kuwa watashindwa kupitisha vitu vyao vya kifisadi unnoticed.
 
Back
Top Bottom