Wanasayansi wamesema kutokana na ongezeko la watu duniani tunakokwenda hatutaweza kukidhi mahitaji ya chakula kwa kila mtu, wamekwishaanza jaribio la kuotesha nyama kwenye laboratory, cells za mnyama zinachukuliwa na zinazalishwa kuwa nyama inayofaa kwa matumizi ya binadamu.Kumkwepa mnyama 666 ni miujiza!
NWO imejiandaa!imekuwa ikijiandaa toka kipindi watu hawana ufahamu wwte kuhusu wao!ni akili kubwa hawa jamaa akili ndogo kamwe haiwawezi hilo lazima ukubali,jamaa kila sehemu wapo wameshatuzunguka kila upande.
Vitabu vya dini vilishawataja kimafumbo ila wengi wetu tulishindwa kuelewa.
Mfano mkubwa uislam unamueleza mnyama 666 kama ni dubwana kubwa lenye jicho moja litakalokuja kipindi cha njaa kali huku likiwa na chakula kingi au litaweza kupanda mbegu na ikaota papohapo!
wengi tulielewa hivyo kulingana na imani yetu inavyoelewa ila kwa sasa ukichanganua mfano ishu ya kupanda mazao na kuota hapohapo ina maana ni sinema tunazoangalia inaonyesha mwanamke ana mimba kisha kuzaa na mtoto kukua ndani ya dakika90 tunazotazama sinema!
huo ni mfano mmojawapo ipo mingi sana
bonna kwenye hili hauko sahihi kabisa sina maneno ya kutosha kusema hili lakini naamini hukuwaza vyemahii ni obsession isiyo na mantik... yani kila kitu itatafutwa sita inatokeaje..bibilia yenyewe ilishasema 666 ni jina la mtu....
sasa leo watu wanataka kuaminisha umma kua hadi google, chrome, adobe ni 666 [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
nadhani magufuli anachanganya sana watu.. na bado.. ndo kwanza ana miezi 8 serikalini.
Sio obsession hata kama kusoma hujui picha nazo umeshindwa kuzielewa na kuzitambua?!hii ni obsession isiyo na mantik... yani kila kitu itatafutwa sita inatokeaje..bibilia yenyewe ilishasema 666 ni jina la mtu....
sasa leo watu wanataka kuaminisha umma kua hadi google, chrome, adobe ni 666 [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
nadhani magufuli anachanganya sana watu.. na bado.. ndo kwanza ana miezi 8 serikalini.
Kumcha Mungu ndio kufanyaje??? Je ni Mungu gani anayekufanya uyaone hayo mambo Magumu???Haya mambo magumu sana, cha msingi mche Mungu, tengeneza maisha yako mwisho wa siku uwe kwenye upande salama.
Kumcha Mungu ndio kufanyaje??? Je ni Mungu gani anayekufanya uyaone hayo mambo Magumu???
#Jeremiah 33:3
All Day EeerdayMshana Jr did it Again.
All Day, Everyday Beaby. Hahaha