GE2025 Unabii mzito wa Mchungaji Dickson Cornel Kabigumila juu ya yatakayojiri kabla ya Oktoba 29, 2025

GE2025 Unabii mzito wa Mchungaji Dickson Cornel Kabigumila juu ya yatakayojiri kabla ya Oktoba 29, 2025

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
4,393
Reaction score
14,500
Wakuu!

Mmesikia Unabii mzito wa Mchungaji Dickson Cornel Kabigumila ambao ametoa katika ibada iliyofanyika Septemba 07, 2025, akieleza juu ya mambo yatakayojiri kabla ya Oktoba 29, 2025?

Huyu jamaa huwa hakosei,Yote aliyoamza kusema tangu mwaka uanze yametokea
"Kama Octoba tutatiki basi hatutatiki kwa aneyetaka tiki"

Na alishatafutwa sana na wasiijulikana wakamkosa,anakwambia yeye anawafanyia msako wako rohoni kabla hawajamtafuta
 
Huyu jamaa anapiga spana Balaa huko Instagram
Marekani wakati inaiharibu Libya iliandaa Mchungaji ambaye alikuwa namtukana Obama na viongozi wa west kuonyesha kuwa wananchi wa nchi za West na Marekani hawaungi Mkono uharibu huo huko Libya.

Ukweli, wananchi wa nchi hizo Wala hawakuwa na taimu bali ilikuwa janja janja ya US na washirika wake kuhadaa Umma wa Africa kuwa yawezekana wananchi wa Marekani na West watazuia uharibifu huo. Hayo yalikuwa matumaini hewa kwa waafrika ili kupunguza upinzani wa uharimia uliokuwa unafanywa huko Libya.

Mimi nimetoka mfano...hapa sote tuchanganye za Kwetu pia.
 
Huyu jamaa huwa hakosei,Yote aliyoamza kusema tangu mwaka uanze yametokea
"Kama Octoba tutatiki basi hatutatiki kwa aneyetaka tiki"

Na alishatafutwa sana na wasiijulikana wakamkosa,anakwambia yeye anawafanyia msako wako rohoni kabla hawajamtafuta

Mfano?
Ushahidi?
 
His style and mannerisms resemble Gwajima …are they belong to the same unit?
 
Back
Top Bottom