Unamwambia tu kua leo unataka mbunye
ah! miss neddy huyoo aafu unatia Microphone test! Tunajaribu,tunajaribu
lugha ya picha tu kama kusoma hujui,,,
Sisi watu wa bara ni amri tu na shurti mtoto wa kike afuate apende asipende
Nashangaa, watu wa pwani hatuna hili wala lile, ukijifukiza oud wako wa mawardi, ukiifukiza na nyumba akikuta kikoi chake na khanga zako zimefukizwa ma oud, sharti nyumba inanukia kwa maoud ya mawardi, kitanda kimetupiwa asumini za hapa na pale, umeshajitia kikuba chako cha asumini na viluwa kichwani.
Hapo kuna kuongea tena? au kuna unaanzaje? Mnanchekesha!
Kizuri Kula na nduguzo!!!
Mmmmh! Mi bado mdogo jamaniii!!
nalifikiri niko pekee yangu mtoto....