Hivi wewe huwa unaanzaje kwa mpenzi, mkeo au mmeo ukiwa unahitaji penzi (mgegedo)??
Nikisikia romantic songs najua mpenzi ananihitaji hata siulizi...
Heee heeee halafu waanza kulivuta au kuchana mistari???
mimi huwa nashika pembe la ng'ombe live
hahahaha unalipeleka wap?mimi huwa nashika pembe la ng'ombe live
hahahaha unalipeleka wap?
Hivi wewe huwa unaanzaje kwa mpenzi, mkeo au mmeo ukiwa unahitaji penzi (mgegedo)??
Nikisikia romantic songs najua mpenzi ananihitaji hata siulizi...
Lazima source (mchokozi) yupo tu.....wewe au yeye???