Rorscharch
JF-Expert Member
- Jul 22, 2013
- 1,435
- 3,120
JAMANI mtaani mambo ni magumu sana; Ili kujiongezea Vipato na kujinasua na mzigo wa umaskini INABIDI tuangalie vyanzo mbalimbali vya kuweza kujiingizia kipato
Leo ningeomba yoyote mwenye "ekspiriensi" ya udalali atufafanulie alianzaje na kuweza kubobea katika Biashara ya kuwasaidia wananchi kujipatia maeneo ya kuegesha miili yao mjini hapa