Dah enzi hizo niko Tukuyu nasoma sec school kati ya vitu ambavyo vilinipa kazi mpaka sasa ni kuoga maji ya baridi asubuhi ili kuwahi assembly. Hivi wewe ulikua unaoga maji baridi kwa staili gani ile asubuhi na ukungu ama baridi tu huku tukiaminishwa kuna ngiri (ugonjwa na sio warthog).
Style yangu ni kuimba imba kwa sauti kuubwa mpaka nazuga maji ya baridi nayazoea hatimaye naoga. Kuna mwingine alikua anapaka sabuni kwa boxer then ndipo anazoea...duh reminisce
Tiririkaaaaaaaaa,wewe unaanzaje kuoga maji baridi, hasa kama ni eneo la baridi?
Mimi huwa nahesabu moja, mbili, tatu naingia mzima mzima na kwa vurugu utadhani vita.
Mimi huwa nahesabu moja, mbili, tatu naingia mzima mzima na kwa vurugu utadhani vita.
Hahahaaaa...mkuu umetishaMimi huwa nahesabu moja, mbili, tatu naingia mzima mzima na kwa vurugu utadhani vita.
Kwa anayetoa ushauri kama huo tafadhali sana ondoa avatar hiyo kwani ni kinyume kabisa na mhusika anavyofikiria.Hakikisha Kwanza Unavuta Sana Bangi Na Ikishakolea Mwilini Zama Mtoni au Ktk Ndoo Uoge Na Hutoona Maji Ni Ya Baridi Tena. Kazi Kwako!
Dah! Umenikumbusha pale NJOSS, mwezi wa sita halafu ukiingia darasani, viti vina top ya bati. Ni hatari tupu...kama umesoma mkoa wa njombe kwa baridi ile unaosha kwapa na uso tu