sio sahihi kutokana alikadhalika haijakamilika refer to msingi potofu uliotumika kujenga hoja kua na vinasaba vya logical fallacyConclusion hiyo kwamba sigara haina madhara kwa sababu haikuonekana kwa the alleged smoker (your babu) ni sahihi LAKINI SIYO KAMILI.
Zipo factors nyingi SANA TU za kuzingatia: genetic make up yake, mtindo wake wa maisha kijumla, aina ya vyakula, care na attention aliyokuwa akipata, special muujiza na kadhalika na kadhalika.
ushahidi bila uthibitisho wa kufuata mtiririko wa utafiti huo ni uhuni wa kulazimisha mawazo yako kichwani yakubaliwe kindeziThe point is lazima ushahidi ukaribie beyond reasonable doubt ili uwe valid na utumike kwa watu wote.
weka uthibitisho wa haya uliyoyaandikaControl experiment ni muhimu sana! Having said that, the law of curse & blessing
hiyo ni "BANDWAGON APPROACH" kuamini kwamba kwa kua watu wengi wanaamini hoja fulani au wanakubaliana na mtazamo fulani basi hoja hiyo lazima iwe kweli au hatua hiyo ni lazima ifuatwe hiyo ni fallacy(Curble ama Karma) inasapotiwa na almost kila mtu ambaye amewahi kuishi duniania akiamua kuwa honest! In short, the evidence is overwhelmingly beyond threshold point!
Swali la msingi ulitakiwa ujiulize na ujijibu ni hiliThe only problem inayofanya uwe wrong kwenye hii dhana ni kwamba the law of curse & blessing (curble or karma) is two sided -- inaweza kuwa positive ama negative. Halafu, whether it is positive or negative, huwa siyo mwisho wa story. It is divinely predetermined way of helping humans correct their past mistakes or reinforce their past virtues! If you did not know, every single action, however infinitely tiny it may seem to be, most definitely observes the law of curse & blessing.
Do you believe in the existence of a Supernatural Being called God? How powerful is your God? Can you trust Him with your issues? How many of your things, generally, can you trust Him with, and which ones are you not willing to let Him do it for you? Do you believe in forgiveness? Can you say that unatamani na pengine huna mashaka kuwa siku moja uwepo peponi pamoja na Mungu wako?
NB: Uko free kujibu kwa namna uonavyo vyema au unaweza kuskip unayoona hauko comfortable nazo, OK? And, in case you are wondering what I am after kwa maswali haya, nahitaji kujua jambo moja tu, ikitokea umeumizwa kwa kuonewa, kama ulivyosema, halafu somehow ikasikika sauti ya Mungu wako ikisema: "Niachie huyo, nitashughulikia na kosa lake!" Then, kweli ukakubali, ukamwachia. But siku zinavyoenda, unaona yule "mbaya wako" anadunda tu mtaani, hakuna hata kinachoendelea, na Mungu wako wala hata hajakupatia feedback. Maisha yakaendelea hivyo tu hadi mwisho kila kitu seemingly kiko kama kilivyokuwa. My simple question, Would you still continue trusting your God?
Huwezi kuwa mwema na ukawa tajiri, sahau hilo...Siyo kwamba waovu wanafaidi na wema hawafaidi issue ni hekima ya kukwepa mishale hata wema wapo wengi wanafaidi pale wanapojitambua kukwepa kutumika na wema kuzidi uwezo wao.
You are beginning from a dead end -- your reasoning is based on a wrong proposition, in the first place. Katika principle ya curse & blessing (aka karma), you cannot simply say mtu fulani anaface laana (bad karma) pale anapopitia madhila fulani! Hapana! The law of curse & blessing is not something one can just tag it somewhere by assumption based on some experience of bad luck or unexplainable circumstances of life. Sometimes some bad experiences themselves can actually be someone's blessedness (GOOD KARMA)!!!Swali la msingi ulitakiwa ujiulize na ujijibu ni hili
kilichomtokea huyo mtoto kwa hicho kitendo cha kudhihakiwa kwa kufananishwa na nyani ni KARMA iliyotokana na matendo yake aliyoyafanya huko nyuma au siyo KARMA?
You must be leaving on some other Planet, possibly the vanquished Pluto!Huwezi kuwa mwema na ukawa tajiri, sahau hilo...
Ephesians 1:11 kila kitu kinafanyika kutokana na mipango na maamuzi ya mungu and God chose us to be his own people in union with Christ because of his own purpose, based on what he had decided from the very beginning.
mpaka hapo utasema kuna KARMA mzee au KARMANZILA?
I don't think umefuatilia mlolongo mzima wa hoja zilikotokea; obviously, your chief interest was criticism & childish insults, ambayo nayo hujafanikiwa! To a large extent, you just supported and reinforced what I was saying. Kudos!sio sahihi kutokana alikadhalika haijakamilika refer to msingi potofu uliotumika kujenga hoja kua na vinasaba vya logical fallacy
ulichokiandika hapa sidhani kama ulifikiria mara mbili, sidhani kama ulikua unakusudia kuiongelea sumu ya nicotine kwa upana wake kua athari zake zinaweza fifishwa na lishe.
muujiza ni nini? unaweza kuthibitisha muujiza upo na sio imaginary concept?
ushahidi bila uthibitisho wa kufuata mtiririko wa utafiti huo ni uhuni wa kulazimisha mawazo yako kichwani yakubaliwe kindezi
hujathibitisha hapa laana ipo, wala KARMA kua ipo
weka uthibitisho wa haya uliyoyaandika
hiyo ni "BANDWAGON APPROACH" kuamini kwamba kwa kua watu wengi wanaamini hoja fulani au wanakubaliana na mtazamo fulani basi hoja hiyo lazima iwe kweli au hatua hiyo ni lazima ifuatwe
kukubalika kwa hoja na watu wengi hakuthibitishi kwa namna yeyote kua jambo hilo ni sahihi au ni kweli
Hayo makosa ya nani?kila kitu kinafanyika kutokana na mipango na maamuzi ya Mungu
Hiyo statement hata wewe unajua ni makosa matupu! Stop lying!
Do you believe in unconditional forgiveness? Kwa mfano: "Baba, uwasamehe, kwa kuwa hawajui watendalo!"Jibu lako hapo ni moja tu..naamin uwepo wa muumba naamini kuna hukumu pia!
Lakin sasa mi nimeonewa sana bila kujua..yaan god hakunishtua kama yanayonitokea ni kuonewa..mpaka nakuja kujua nishalia sana...nikakata shauri hakuna kurudi nyuma mwaa mboga nimwage ugali
Mimi ni mtoto wa mungu akiniahid inabid atekeleze ni wajibu wake kwakua mie ni mtoto wake tena naamin anayenipenda kabisa!..
I suppose utakuwa umejitungia Msahafu wako mpya, just overnight! There is absolutely nothing like that kwenye Msahafu niujuao!Hayo makosa ya nani?
Unataka kusema ni makosa yangu nimepotosha kwa kuweka kifungu ambacho hakipo kwenye biblia?
Au ni makosa ya waandishi walioandika hiyo statement kwenye biblia?
Sio kweli hiyo ni perspective yako na sikuzuii kuona hivyo. Mi sija hoji kulingana na wewe unaielewaje KARMA bali nimehoji kulingana na tafsiri halisi ya neno KARMA and how it worksYou are beginning from a dead end -
Na hakuna sehemu nimehitimisha kua flani anapata laana, ila accordingly to its definition mi ndio nimeweka hoja yangu- your reasoning is based on a wrong proposition, in the first place. Katika principle ya curse & blessing (aka karma), you cannot simply say mtu fulani anaface laana
Unajua kwasababu gani unatumia nguvu kubwa kuitetea karma mpaka unajikuta unatoka nje ya msingi yake ambayo kwenye dini yake alisia wameibainisha? Ni kwasababu ni ngumu sana kutetea imaginary concepts(bad karma) pale anapopitia madhila fulani! Hapana! The law of curse & blessing is not something one can just tag it somewhere by assumption based on some experience of bad luck or unexplainable circumstances of life. Sometimes some bad experiences themselves can actually be someone's blessedness (GOOD KARMA)!!!
Ona sasa huo sio msahafu iyo ni verse kutoka kwenye bible version ya GNT as long as ulisema sio kosa kukibaliana na mtazamo kutoka dini nyingine I'm convinced utakubaliana na hiyo verseI suppose utakuwa umejitungia Msahafu wako mpya, just overnight! There is absolutely nothing like that kwenye Msahafu niujuao!
Hii inathibitisha nini?Do you believe in unconditional forgiveness? Kwa mfano: "Baba, uwasamehe, kwa kuwa hawajui watendalo!"
Hapana huwezi kuto ruhusu maswali kwa kigezo cha critism juu ya madai ambayo unayatoa kwa lengo la mpokeaji akubali kua ni kweli bila kuhoji.I don't think umefuatilia mlolongo mzima wa hoja zilikotokea; obviously, your chief interest was criticism & childish insults, ambayo nayo hujafanikiwa! To a large extent, you just supported and reinforced what I was saying. Kudos!
Mimi tena niliyekuuliza habari za muujiza kwa kutaka uthibitisho ili nijue ndio naye takiwa kutoa maana ya hayo maneno ambayo lengo langu niyajue?Two, and most importantly, if you can provide the definition of "laana" na "muujiza," then nitaweza kukuthibitishia, bila chembe ya mashaka, kuwa wala siyo "imaginary concept," kama unavyotamani iwe. Kazi kwako!
Hapana huwezi kuto ruhusu maswali kwa kigezo cha critism juu ya madai ambayo unayatoa kwa lengo la mpokeaji akubali kua ni kweli bila kuhoji.
Kingine unafanya kosa sana kwa kukwepa challenge kutaka moja kwa moja kila unaloliongea liwe acceptable bila kuhoji.
Mimi tena niliyekuuliza habari za muujiza kwa kutaka uthibitisho ili nijue ndio naye takiwa kutoa maana ya hayo maneno ambayo lengo langu niyajue?
Mimi nitakuambia Muujiza na laana ni maneno kama karma (imaginary) tu ambayo yapo as myths ila nje ya hayo maneno na utendaji wake wa kazi kihalisia ni hakuna.
This was not for you, really. Unless uanze na arguments zote za mwanzo ndipo utafika hapo, halafu tuendelee. Otherwise, hopefully, atajibu mhusika.Hii inathibitisha nini?
You should probably try comparing some few more versions ndipo utaona kosa lako liko wapi katika kunukuu ulikofanya. Ukiwa na ujasiri wa kunukuu kikamilifu, naweza kukuonesha wapi umekwama. Sorry!Ona sasa huo sio msahafu iyo ni verse kutoka kwenye bible version ya GNT as long as ulisema sio kosa kukibaliana na mtazamo kutoka dini nyingine I'm convinced utakubaliana na hiyo verse
Msaafu uujuao ni upi huo?
Sio kweli hiyo ni perspective yako na sikuzuii kuona hivyo. Mi sija hoji kulingana na wewe unaielewaje KARMA bali nimehoji kulingana na tafsiri halisi ya neno KARMA and how it works
Na hakuna sehemu nimehitimisha kua flani anapata laana, ila accordingly to its definition mi ndio nimeweka hoja yangu
Kama KARMA is a word meaning the result of a person's actions as well as the actions themselves. It is a term about the cycle of cause and effect. According to the theory of Karma, what happens to a person, happens because they caused it with their actions. ...
Utasemaje kua swali langu kuhusu mtoto aliyefanyiwa unyanyasaji kwa kuitwa nyani halina mantiki au sio compatible na hii dhana wakati yenyewe imejieleza wazi kua kinachomtokea mtu hutokea kwasababu ya mambo ya nyuma aliyowahi kuyafanya.
Kama ulifanya ubaya basi tegemea nawe utafanyiwa ubaya. Sasa kwanini swali langu la kujua ubaya aliofanya huyo mtoto lililosababisha mpaka naye aje kulipwa kwa ubaya liwe invalid?
Unajua kwasababu gani unatumia nguvu kubwa kuitetea karma mpaka unajikuta unatoka nje ya msingi yake ambayo kwenye dini yake alisia wameibainisha? Ni kwasababu ni ngumu sana kutetea imaginary concepts
Hakuna kitu kama hicho na uthibitisho wa hilo huna, personal experience ulizozifanyia attempt zikupe matokeo kwwnye hoja zako zimeshindwa kukidhi vigezo kwasababu ni logical fallacy na hilo unalijua